Madaktari amana na ulevi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari amana na ulevi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chuck j, Aug 20, 2012.

 1. C

  Chuck j JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,277
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  ILKUWA KAMA MAIGIZO VILE LEO AMANA HOSPITAL,,KATIKA WORD YA WAMAMA WANAOSUBIRI KUJIFUNGUA,,,,AMEINGIA DR MMOJA SAA TANO ASBH,, NA KUANZA KUTOA LUGHA YA KUDHALILISHA,,ETI MBONA MMEJAA HIVI LEO,,?HAMJUI NI SIKUKUU?WOTE MNASUBIRI KUJIFUNGUA LEO?KWA NINI ISIWE JANA AU KESHO?NA MAMBO MENGINE ,,,ANAONGEA HUKU ANANUKA POMBE,,AKAANZA KUWAPIMA NA KURUHUSU WENGINE WAENDE HOME HUKU AKIRUDIA KAULI YAKE MMEZIDI,,ITABIDI MPUNGUE,,swali dr anaruhusiwa kutoa maneno yanamna hiyo na ulevi kzn?
   
 2. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,564
  Likes Received: 398
  Trophy Points: 180
  Next time jitahidi upate jina la daktari husika ili uchunguzi na hatua za kinidhamu zifanyike kwa urahisi.
   
 3. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,806
  Likes Received: 198
  Trophy Points: 160
  atakuwa bado yuko kwenye mgomo wa kimyakimya huyo
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,341
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  lakini Mkuu, mbona huo muda uliosema(leo saa tano asubuhi) haukafika?, maana inaonesha umebandika bandiko lako leo saa sita na dakika ishirirni na nane usiku, kwa kiingereza 00.28 this morning, au tukio hili lilikuwa jana saa tano?!, nahisi wakati unatuletea bandiko hili ulikuwa anamalizia idi mosi pale club ambiance, ama?!
   
 5. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtoa mada na wewe umelewa!:shetani:
   
 6. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 22,193
  Likes Received: 9,226
  Trophy Points: 280
  utakuwa ni huyo daktari kwakweli
   
 7. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,341
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Dada Flora, eid mbarak, hivi ile kesi ya mauaji inayomkabili mwanao "Papaa MSofe" imefikia wapi?, imeanza kusikilizwa?, dada yangu, mada za leo zinahitaji kuwa makini kabla ya kuchangia maana contibuters wengi wamefungulia kila kitu, harafu wengine wanaposho ya kudodosa sensa wakati wengine wanaposho ya kupinga sensa isifanikiwe ili rais aonekane hawezi kuongoza. Ciao.
   
 8. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,329
  Likes Received: 419
  Trophy Points: 180
  Chuki wewe unaripoti kutoka Amana tu?Hujui kuwa madaktari na manesi wana mgomo baridi?
   
 9. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #9
  Aug 20, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 22,193
  Likes Received: 9,226
  Trophy Points: 280
  mwanangu atatoka tuu jamaa wako kwenye pay roll yake hiyo zuga tuu haendi popote kwanza analalaga mtaani asubuhi anarudishwa kule kwa taarifa yako
   
 10. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #10
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,567
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Sa wewe ulitaka afanyeje? We mlevi kwanza!
   
 11. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #11
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,055
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kitu varue.................. mambo mengine baadaeeeeeeeeeee!!!!!!!!
   
Loading...