Ubaguzi wa kidini,,viongozi wa ccm chanzo

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,358
815
Kufuatia kunyamazia au kusingizia hili suala la udini likaendelea kutamkwa na viongozi wa ccm litatumaliza,,zanziba wanachoma mabaa,na makanisa,viongozi wanakaa kimya. Waziri mkuu anaulizwa swali kuhusu amri iliyotolewa huko znz kuhusu kutokula kipindi cha Ramadhani, ni amri atakaekutwa anakula hadharani ashtakiwe,Mkuu akasema nisawa. Je hii nchi ni ya kiisilam? WAKRISTO NAO WAKISEMA KUWA KIPINDI CHA PASAKA nacho ijumaa kuu watu wasile nyama itakuwaje? Suala la mihadhara ya kukashifu dini hasa ya kikristo viongozi wa ccm wanakaa kimya,,Viongozi wa ccm (serikali) wanakua wa kwanza kusingizia baadhi ya viongozi wa kisiasa wa upinzani ni wadini HUKU VIONGOZI WA DINI YA KIISILAM KUKAA KIMYA AU KUWAAMINISHA HUO UONGO,Eti wakristo wanawapunja mfumo kristo,,ukweli kila kitu kwa wakristo wanafanya wenyewe,,mfano mashule,mahospital na mavyuo,,,Viongozi wa kikristo walio wengi ni wasomi kama mapadri wachungaji nk,Je kwa upande wa waislam ni wasomi? waislam tusome tuache manenomaneno,,,,nawakilisha
 
Back
Top Bottom