Uimara wa Panton Dogo la kwenda Kigambon.. MV Kigambon. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uimara wa Panton Dogo la kwenda Kigambon.. MV Kigambon.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Elly_jm, Aug 20, 2012.

 1. E

  Elly_jm Member

  #1
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tupiaa apa kila unachokijua kuhusu MV kigamboni either uimara au udhaifu wake.
   
 2. d

  debon Senior Member

  #2
  Aug 20, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 113
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kale kakivuko kila nkipanda roho juu. Kusema kweli kamechoka
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,282
  Likes Received: 4,254
  Trophy Points: 280
  mie kwa sasa naona heri hicho kigamboni kuliko lile lipantoni likubwa(sijui linaitwa magogoni?) maana kadri siku zinavyosonga mbele ndivyo linavyozidi kuwa slow, nahofia ipo siku litazima katikati...
   
 4. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,824
  Likes Received: 448
  Trophy Points: 180
  Ngoja tusubiri daraja! Yale madude hayatabiriki.
   
 5. C

  Chuck j JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Mi nilipanda juzi,lilijaza mbaya abiria wanaojaza kubwa (magogoni) ndo walioingia kwenye dogo,,yaani around 800,to 1000na magari juu,,ilitisha ..
   
Loading...