Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hivi wanyakyusa peke yao ndiyo wenye ujasiri wa kuongea wazi na kutetea haki za wananchi chini ya serikali ya Magamba au wao ni rahisi kuwateketeza? 1-Dr ulimboka. 2-Dr Mwakembe. 2-Prof Mwandosya.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
makarani wa sensa wilaya ya ilala kituo cha zawadi secondary wamegoma kula kiapo cha kufanya kazi ya sensa mpaka watakapopewa malipo ya semina ambayo hawajamaliziwa. Hakuna kinachoendelea hapa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari bandugu, Kuna nyumba moja ambayo nadhani ilikuwa ya serikali pale Ada Estate , kama unatokea ST Peters karibia ya kukata kona ya kuingia Ali Hassan Mwinyi Rd unakuwa unaiona. Ile nyumba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya mkutano feki wa mecki, wakati wanachama wengine wakiendelea na chakula, viongozi wa mecki waliokuwepo walikuwa na kikao cha dharura na kupitisha maamuzi yafuatayo; 1. Charles ndagula...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kweli hii kiboko wazawa tufanyaje? Let's chase them out liwalo na liwe
0 Reactions
4 Replies
1K Views
limetengenezwa kwa nyaya na vipande vya mbao unapo vuka linanepa cha ajabu zaidi watu wa bodaboda huvuka wakiwa wapanda inatisha sana.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
kabila la wahadzabe wametoa masharti ya kuhesabiwa kwa habari zaidi bofya hapa chini http://www.dailynews.co.tz/index.php/local-news/8801-hadzabes-ask-for-monkey-meat-during-census
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mount Kilimanjaro The Chairman of Tourism Confederation of Tanzania, Mr Gaudence Temu, said with the three natural features competing with the likes of “Sahara Desert,” encompassing over ten...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu, 1. vipindi, 2. Wataalamu, 3. Kuanzisha radio yako, 4. Kuboresha radio yako, 5. Mafunzo, 6. Utengenezaji wa mfumo bora wa vipindi (reprograming) Radio zote za dini na secular usisite...
0 Reactions
0 Replies
947 Views
Ama kweli ukistaajabu ya Firauni utaona ya Mussa, Leo katika vyombo vya habari manispaa ya kinondoni wamesema eti wanahamisha kituo cha daladala cha Mwenge kwenda Makumbusho. Cha kushangaza ni...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Wana JF, hivi mnafikiri serikali kama hii itafanya jambo la maana muhimu baada ya sensa katika maendeleo au tutabaki kujulikana idadi tu?.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Maombi Maalum. Mtumishi wa Mungu Bishop Zachary Kakobe Ijumaa August 31, 2012 atafanya maombi maalumu kupitia facebook. Unachotakiwa kufanya nenda kwy website ya www.bishopzacharykakobe.org...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sasa yapata mwaka mmoja tangu sera ya "kilimo kwanza" ipitishwe na pia msimu mmoja wa mavuno tayari, mwenye tathmini ya hali ya kilimo na mazao yake atujulishe tafadhali! je imekuwa na maslahi kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kumekua na tetesi kuwa walimu wengi wamekosa kushirikishwa zoezi la sensa kama ilivyozoeleka kisa ni kujihusisha na mgomo. Ukweli niliopata kutoka kwa afisa mipango wa wilaya moja ni kwamba kuna...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Kila nikipiga hii namba huwa haipokelewi kamwe, badala yake wanakula hela yangu tu kwa matangazo yao! Kwa nini hii namba haipokelewi? Mwenye msaada tafadhali tupia hapa Jukwaani! Anyway nilitaka...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Napenda kuipongeza halmashauri yangu ya jiji la arusha kwa kuwa na mikakati ya kuweka jiji safi kuanzia tarehe 1/9..hii itaambatana na kuwaondoa wafanya biashara wadogowadogo maeneo ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Self explanatory. No comment!!. Inajieleza yenyewe. Hakuna nyongeza!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Magari chakavu ya uchafu (ya halmashauri) na UDA yanasababisha ajari nyingi sana barabarani, ukiona magari ya taka kwa wale wanaoishi ukonga wanajua jinsi yale magari ambavyo yameshasabaisha ajari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa nini hakuna chombo cha Habari hata kimoja kilichi ripoti Baraza la Iddi lililo Fanyika Mwembe Yanga front page kama lilivyo ripotiwa baraza la Iddi lilo fanyika Mnazi Mmoja?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi punde nimesikia kutoka Bbc kuwa kuna boat imezama jana ikiwa na watu 12, wameokolewa 10 na wawili bado hawajulikani walipo
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom