kwa anayejua malipo ya NIDA kwa makarani wa sensa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa anayejua malipo ya NIDA kwa makarani wa sensa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nkisumuno, Aug 20, 2012.

 1. n

  nkisumuno JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  wakala wa vitambulisho Nida wameona waunganishe suala la sensa na ukusanyaji wa taarifa za watu kwa ajili ya vitambulisho vya Taifa kwa kuwatumia makarani wa sensa, Malipo ya Nida hayapowazi, naomba kwa makarani waliolipwa au kuahidiwa waweke mambo wazi hapa. Maana wilaya Ya Mufindi inaonekana mizengwe tu. tumeambiwa eti twaweza lipwa au ikawa malipo ya sensa ndo hayo please wekeni mambo hadharani wadau.
   
 2. m

  mabwepand Member

  #2
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  ma

  Kaka NIDA najua wanataka kuwapiga za Macho mkuu,huku arusha,kilimanjaro walisema TZS 25,000 kwa siku for 3 days ila kiukweli unatakiwa kwa AY moja ile NIDA wametoa TZS 500,000 ukimaliza kuhesabu msikubali kabisa huko huku watu wameshtukia UFISADI jamani watu wanapona migongoni mwa Walalahoi.
   
Loading...