Abiria wamgomea dereva wa Al-saedy high class t322 ddp kisa mlevi kutoka Kilombero-Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Abiria wamgomea dereva wa Al-saedy high class t322 ddp kisa mlevi kutoka Kilombero-Dar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SYENDEKE, Aug 19, 2012.

 1. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #1
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Habari wana jf na siku tatu nilikuwa kilombero kwa shughuli mbalimbali sasa leo nimemaliza shughuli zangu nimeamua kuanza safari mapema asubuhi nilitaka gari ya asubuhi sana ili niweze fika mjini mapema sasa nikakosa gari ya kwanza ambayo ni MORO BEST ikawa imejaa nika bahatika kupata nafasi gari ya Alsaedy T322 DDP

  sasa hii gari wameandika inatoka saa 12:10 asubuhi tukawa tumewahi kama kawa sasa nimefika kituoni 2mekaa sana kituoni baadae ilibidi abiria 2mind nakuanza kuhoji kinacho endelea pale baadae tetesi zikasambaa kuwa hakuna dereva dereva anapigiwa cm hapokei baada ya lisaa dereva akaja na bodaboda amelewa mbaya full kupepesuka eti anataka kuendesha basi yaani inaonekana ni mtu aliye kesha anakunywa pombe. Baada kuona vile ikabidi abiria tugome kupanda kwenye gari na apigiwe simu tajiri na SUMATRA na polisi baadae baada ya masaa3 akaja dereva mwingine tukafanikiwa kuondoka na tulivyo fika mikumi tukamuacha dereva chapombe polisi mikumi halafu tulivyo fika morogoro ikaonekana dereva anae endesha ni KISHOKA hana uzeofu wowote na Bosi wa gari alikuwa amewaset polisi ili gari iweze fika morogoro. sasa ilivyo fika morogoro ikabidi watubadilishie gari la BM COACH T618 BQX nawakasingizia kuwa gari mbovu

  kwanza hizi gari zimeandikwa high class lakini hazina ubora wowote cozi zinajaza kama mabasi ya mbagara vile halafu zinapita kwenye mizani na wala sijui hawa watu wa mizani wanapima nini haswa wakati watu walio simama ni nusu ya walio kaa.

  Hoja yangu hapa kuna kipimo cha urevi kwenye udereva cozi inavyo onesha kwenye mabasi ya ALSAEDY na wengine ni kawaida kukesha na pombe then kuendesha magari ndo maana ajari hazipungui bongo kwa uzembe wa watu fulani ni hayo2
   
 2. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,749
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  Too sad!
   
 3. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Kama watanzania tumefikia ngazi hii ya kujitetea ni faraja sana. Hakuna kuburuzwa tena.
   
 4. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,756
  Trophy Points: 280
  kuna dereva wa saibaba aliwahi kurudi nyuma pale kwenye mataa ya ubungo wakati taa zimeruhusu kwenda mbele alivyofika kibaha abiria wakamshtaki kwa trafiki alionyeshwa kwenye tv yuko chakari kwa ulevi eti akajitetea kapiga kiroba kimoja tu,wakati alikuwa hajiwezi hata kutaja jina lake
   
 5. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  jamani naskia siku hizi hata Asprin kafungua klabu yake ya walevi wakisha kunywa wanatestiwwa kama wanaweza kupitisha gari kwenye daraja dogo huko maeneo fulan ukpita salam wewe na pombe zako hadi mwanza unafika.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. New Nytemare

  New Nytemare JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 1,789
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  ebana kumbe namba za gari zimefika DDP
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  ajari? au Ajali...
   
 8. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #8
  Aug 20, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  yaani hawa madereva kukesha kwa kunywa imekuwa kawaida sana ndo maana ajali wala hata haziishe na mara nyingi zinatokea wakati wa sikukuu kwa kuwa ndo muda mwingi ambao madereva nao wanakesha wakinywa halafu wanaendesha magari
   
 9. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #9
  Aug 20, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  vyovyote ila msg send ujuaji mwingi wabongo
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Aug 21, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,020
  Likes Received: 23,763
  Trophy Points: 280
  Khaaaaa!
   
Loading...