Baadhi ya Maeneo ya Kuhesabia Watu Kuwekewa Ulinzi

RGforever

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
6,880
5,424
Kwa Mujibu wa Sensa mwaka huu 2012, baadhi ya Maeneo ya Kuwahesabu watu ,kutapelekwa Vikosi vya Polisi ili kulinda Usalama wa Makarani. Hii ni kutokana na Baadhi ya Makarani wa Sensa kulalamika kuwa Wanatishiwa na Baadhi ya Watu..

Ila Wakurugenzi na Wakuu wa Wilaya wamewatoa wasiwasi kwa kuwapatia Vikosi kasi vya kulinda usalama wao siku ya kuwahesabu watu na kuwahakikishia ZOEZI la kuhesabu watu litatimizwa kwa Amani na Kila Mtu atahesabiwa katika kaya yake.

SOURCE: MAFUNZO YA SENSA
 
Sheria ya kodi inatoa msamaha kwa NGO
Zilizo sajiliw. Aghakhana wamesajiliwa kupita
Mashule na hospitali ambazo wanatoa public service

Kwakuwa sheria haina masharti ya kuwa NGO zaidi ya
Kusajiliwa hii ni loophole inayotumiwa vizuri
Lakini pia kutoza fedha nyingi hakumaanishi wao
Ni taasisi ya kibiashara bali ni kutokana na
Gharanma kubwa wanazozipata ukumbuke madaktari na vifaa
Havitoki serikalini.

Kwahivyo sidhani kama ni sahihi kuwanyima msamaha
Wa kodi kwa kigezo cha bei wanazotoza tu, kimsingi bado
Wanasaidia jamii kwa kupunguzu msongamano wa
Wagonjwa katika hospitali chache za gava.

Ukumbuke pia kuna kina AnaBen/Mkapa foundation
Wanakusanya bilions na hawalipi kodi...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom