Fanya self evaluation uone !! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fanya self evaluation uone !!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mchokozi, Aug 21, 2012.

 1. M

  Mchokozi JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  1..kwa taarifa yako,watu wengi hubeba condomu au kuongelea kama vile wazijua sana lakini ni ushahidi tu,hawazitumii!.

  2..Kabila linaloongoza kwa kuwania madaraka hasa ya Urais ni Wachagga !!

  3...Idadi ya watu waojifanya wamesoma na Kikwete na wanafahamiana nae imeongezeka kwa asilimi 98.

  4....Matajiri wakubwa ndio wanaoongoza kwa ubahili na sio Wapare peke yao.

  5....Kwa taarifa yako, walevi wa bia ndio watu wapatao maendeleo kwa haraka kuliko wasio kunywa.

  6...Wasichana wengi Wakichaga ni wa zuri wa sura tu lakini ni wabaya kwa maumbo na MAJAMBOZ.

  7...Kwa taarifa yako kabila linaloongoza kwa wanawake wenye makalio makubwa kupitiliza ni lile la ki-Xhosa la Afrika ya kusini.......unabisha.......nenda ukajionee.

  8...Kwa taarifa yako Mashoga wengi waishio hapa mjini Dar wanaishi maeneo ya kinondoni.kwanini huko? jihoji ni kutokana na wingi wa wateja au ni nini?

  9... Kwa taarifa yako wanawake wanaojua KUKATA KIUNO ni wamakonde,Watanga,.

  10....Hata gari lijaee vipi dereva hakosi nafasi ya kukaa.

  11....Wanawake wengi wa kibongo walioko USA wanaolewa na kutesa na wanaume wa Kiwest Africa zaidi ya Wabongo kwa kuwa Wabongo wengi ni wasanii na hawana mwelekeo wa kimaisha.

  12....Kwa taarifa yako Wabongo asilimia 70 walioko nje ya nchi hasa Ulaya na Marekani hawana la maana wafanyalo huko...je wakiambiwa warudi wote wasio na shughuli maalum si maovu yatazidi huku Bongo?

  13....Wanaume wahuni ndio wanaopendwa na wanawake wengi...na ndio wenye bahati ya kupata wanawake wazuri!

  14....Mji wa Milton Keynes nchini UK ndio unaongoza kwa wabongo wanaondeleza tabia za kibongo,majungu,umbea n.k


  15....kwa taarifa yako bangi a.k.a ganja ndio kilevi cha bei poa.

  16....kwa taarifa yako wanawake wa Kirombo toka mkoa wa kilimanjaro ndio wanaoongoza kwa kuzaa nje ya ndoa zao


  17...Kwa taarifa yako wenye vitambi si wote wana kazi nzuri au wanakula vizuri wengine ni wagonjwa tu.

  18....Kwa taarifa yenu Wapemba wanaongoza popote pale Duniani kwa kuchukuliana wanawake na kujisifu "Aka wajua eh nshanchukua nke wa fulani"

  19.... asilimia kubwa ya watu waliompigia Hon Kikwete kura ni wanawake wakitegemea watawezeshwa !!!!??? unajua kuwezeshwaje?????

  20...kwa taarifa yako wanawake wa kibongo wanaongoza kwa mavutu (******) kubwa East Africa

  21....mabosi ndio wanoongoza kwa kukopa

  22....majina ya mabara yote kwa kiingereza yanaishia kwa herufi sawa na ya mwanzo

  23.....kwa taarifa yako wanawake wa kizaramo wanaongoza kwa umbeya.

  24....wasichana wa kizanzibari walioko uingereza wanaongoza kwa kusengenyana(kwa simu za free sa kumi na mbili jioni)


  25....Mabinti wa kirangi ndio wanaoongoza kwa kuwadanganya mabwana zao kwamba mahawara zao ni kaka au binamu zao ."Binamu wane" kumbe mume mwenzio.

  26....kila unaposhuhudia kuapishwa rais mpya ndivyo unavyozidi kuzeeka.

   
 2. L

  Loloo JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  lazima we ni mchaga mana aisifuje mvua
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Namba 16, wasukuma je?
   
Loading...