kwa anayejua gharama za kuagiza gari Noa hadi kuipata naomba msaada

nkisumuno

JF-Expert Member
May 22, 2012
208
72
Naomba kwa mtu yeyote mwenye uelewa gharama za kuagiza gari aina ya Noah toka ughaibuni hadi kunifikia ni kiasi gani anisaidie nataka kujua, nimechoka kutembea kwa miguu. Naomba wadau wekeni mambo hadharani.
 
Mkuu naweza kukuagizia

kwa bei zifuatazo 2002 model $3900 CIF dar
2003 '' $ 4100 CIF Dar
2004 '' $ 5300 CIF Dar
2005 '' $ 6600 CIF dar

Unachagua unalipia deposit hapa bongo $1000
gari ikifika unamalizia rest of the money. ni choice yako kumtumia clearing agent wetu
ama wa kwako.
 
Roughly ushuru unaenda million 4. + Gharama ya CIF unapata kwa milioni 9.5 Noah ya 2003. Hilo ni kadirio la juu mkuu
 
Mkuu naweza kukuagizia

kwa bei zifuatazo 2002 model $3900 CIF dar
2003 '' $ 4100 CIF Dar
2004 '' $ 5300 CIF Dar
2005 '' $ 6600 CIF dar

Unachagua unalipia deposit hapa bongo $1000
gari ikifika unamalizia rest of the money. ni choice yako kumtumia clearing agent wetu
ama wa kwako.
Mmmhhhhhhh!
 
Back
Top Bottom