Mh Beatrice Shellkindo amekodi Mganga wa Kienye jimboni kwenda kukamata Wachawi!

Mwamakula

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
1,890
382
Beatrice Shelkindo ameingia mgogoro na Mkuu wa wilaya baada ya kumugharimia mganga wa kienyeji aliyepewa jukumu la kupekuwa,nyumba za watu,makanisa na misikiti kwa lengo la kukamata wachawi na matunguli yao.Zoezi hilo limepingwa vikali na Mashehe jimboni humo kiasi cha kuleta mgogoro mkubwa.source Majira ya leo na vyanzo kutoka Tanga
 
Wakati Mashehe wanapinga vikali zoezi hilo, watu wa Makanisa na watu wengine wao hawakuona kuwa wanadhalilishwa?
 
Wakati Mashehe wanapinga vikali zoezi hilo, watu wa Makanisa na watu wengine wao hawakuona kuwa wanadhalilishwa?
Si lazima kila kinachotolewa tamko na upande mmoja, basi upande mwingine upinge au uunge mkono. Kwani kuna mashindano? Ukitoa tamko unakuwa umetimiza wajibu wako, hakuna haja tena ya kuanza kuangalia nani atatoa au hatatoa tamko. Thanks kwa masheikh kwa kukemea ushirikina kwa maneno, ila tunahitaji na vitendo pia!
 
Kumbe huwa anachanganya?si kuna kipindi nilisoma humu kwamba ameombewa na TB Joshua na akaambiwa kuwa EL atashinda?
Kazi ipo!!
 
Haeleweki huyu mwanamke...kwani alivyotoka NIGERIA yeye akupewa kichupa cha mafuta na TB JOSHUA? vipi na yeye akutabiliwa kua kama LOWASSA atakua Rais yeye atakua na position gani? vipi zoezi lake la kumpigia kura ya kutokua na imani JK amefikia api?
 
halafu eti anaenda hadi Nigeria kwa mchungaji wake joshua
na ushirikina juu.....
hii coctail hii lol
 
elimu tuliyopata inalevya na kupunguza hata ule uelewa kidogo tulokuwa nao kabla ya kwenda shule nao upotee.mama anazidi kupoteza mwelekeo na isijekuwa ni maelekezo toka nigeria!mganga kamtoa wapi wakuu?!
 
Aisee kile kimama kumbe kiendawazm? Ukiona hivyo jua na chenyewe full mwanga ukikikagua kina hirizi chungunzima na kinaposmama pale mjengoni kinaamini hirizi ndo kiiinga!
 
Hata kikwete amepeleka waganga mtwara kwa ajili ya kusafisha uchawi! hii ni baada ya mama salma kufanya ziara huko.. wakati amelala kwenye hotel aliyofikia wachawi wakamtoa nje na kumnyoa nywele zake za ........ , asubuhi alipoamka akajikuta nje!
so mkuu wa kaya akaamua kupeleka wataalamu kule na kazi inaendelea
Source: mmoja wa washirikina ambaye ni jirani yangu!
 
ccm ni zaidi ya uijuavyo: mzimu wa jairo na timu yake huo: sasa jamaa wameingia jimboni kusambaratisha wapiga kura wake: mama unalo hilo.
 
Back
Top Bottom