Ni lini JK atakapoanza kwenda Bagamoyo kwa helikopta ili kupunguza foleni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni lini JK atakapoanza kwenda Bagamoyo kwa helikopta ili kupunguza foleni?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Aug 18, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,252
  Likes Received: 15,069
  Trophy Points: 280
  Huyu Mzee Mwanakijiji wa Bagamoyo ataanza lini kutumia helikopta kwenda kwao Bagamoyo?
  Wakazi wa Bagamoyo Road tunateseka sana na foleni zinazosababishwa na msafara wake.
  Pia kutumia helikopta kutaipunguzia serikali mzigo wa gharama zitokanazo na posho za madereva na mafuta kwenye mashangingi ya kilimo kwanza.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,531
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  Bujibuji,Mzee wa Uji, bora JK aanze kutumia Helkopta ili afate nyendo za akina G. Saitoti. angalau ukombozi uwe rahisi zaidi!
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,153
  Likes Received: 844
  Trophy Points: 280
  akiwaona mmepaki vigari vyenu pembeni ndiyo furaha yake..vipi huwaanawapungia mkono..
   
 4. a

  afwe JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,077
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Sijui kam kuna panya wa kumtonya kuwa unawachosha wananchi.
   
 5. n

  nndondo JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,225
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Hawezi kuelewa kwa Kuwa Hana qualities za uongozi wala idea ya the simplest economic theory kwamba kwa kuwa serikali haizalishi Bali kwa kutunyongs kwa kodi, basi tuache ngombe tunaokutumikia wewe na familia yako na rafiki zetu walau tufike kazi ni na nyumba ni Kwetu wakati musfaka. anachosha na kuboa kuliko, kwa Kuwa hatuna namna ya kuwasiliana na shetani tunaomba mungu aharakishe kuondoka kwake, hatumpendi, tuna chukka uswahili wake wa kupita kipimo
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,252
  Likes Received: 15,069
  Trophy Points: 280
  kikwete hashauriki
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,069
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Anapenda sana show off hawezi kukubali ushauri huo
   
 8. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #8
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Bwana Bujibuji, usijidanganye kuwa akitumia chopa atapunguza gharama. sanasana ataongeza gharama kwa sababu yeye ataenda kwa chopa na hao madereva na magari yote yataenda kama kawaida ili akutane nayo hukohuko kijijini
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mchako wa kununuaulishaanza na mafungu yalishajulikana kupitia kwa dalali wa kitaifa Tanil Somaiya wa Rada. Dili lilivurugwa pale vijisenti vilipo gunduliwa kule Visiwani Jersey
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #10
  Aug 19, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mnajua mafuta ya helicopter ni kiasi gani?
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Aug 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  Sasa zile x6 na benz latest class mtaziona saa ngapi?
   
 12. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,591
  Likes Received: 9,524
  Trophy Points: 280
  bado anapenda kutanua ni zile BMW zake......
   
 13. C

  Concrete JF-Expert Member

  #13
  Aug 19, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,608
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Ni bora akahamishia tu Ikulu huko Bagamoyo kuliko huu usumbusu anaotupa.
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Aug 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mpaka kipindi cha kampeni endapo CDM watatumia helcopter na wao
   
 15. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #15
  Aug 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,968
  Likes Received: 890
  Trophy Points: 280
  Hao madereva na magari yao yote hayo wanaenda kufanya nini? Jamaa si yuko mapumziko?
   
 16. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #16
  Aug 20, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,024
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145

  watamuonaje akipita juu . hujui ile foleni akipita inaongeza heshima ya rais?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #17
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Hiyo sahau mkuu, ataonyeshaje ufahari wake mbele ya wanabagamoyo kama akipita angani? Fahari yake ni pale mnaposimama na kumtazama akipita kwa mbwembwe hata kama hampendi. Tke it from me
   
 18. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #18
  Aug 20, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Nadhani wanakwenda kuhakikisha kwua Mzee anapumzika vema
   
 19. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #19
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,568
  Likes Received: 1,471
  Trophy Points: 280
  atumie Boti Kabisa Helicopter ina gharama Kubwa...
   
 20. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #20
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,275
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 180
  Kuna siku nilikutana nae njiani alikuwa anatoka birthday ya mshikali wake uko msoga tulikaa nusu saa
   
Loading...