Matukio ya watu kuuawa kikatili.

kamiti

New Member
Aug 15, 2012
1
0
ni takribani watu wanne sasa wakiwa wanauwa kikatili.wakwanza alikua ni mwanamke ambaye alibakwa na kunyongwa hadi kufa,mwanaume kukata shingwa, na wengine ambao wamekatwa shingo lakini hawajafa ila wapo hospitalini.wauwaji hawa ni kina nani wanaofanya ukatili huu!kwakweli inatisha kwasababu matukio yote haya yanafanyika mchana.
 
Back
Top Bottom