Zaidi ya wananchi 100 wamekamatwa katika Operesheni iliyoanza juzi ya kuwaondoa watu waliovamia maeneo yasiyo yao, inayoendeshwa katika eneo la Nakasangwe, Kata ya Wazo, wilayani Kinondoni chini...
kutokana kwamba sisi sio wakazi bali ni washaija, hivyo basi serikali ituletee vitambulisho vya washaija, kama wamekubali kuwaletea wakazi wetu tu? haiwezekani na hatukubali, liwalo na liwe!
Na Rachel Mrisho, Rukwa USHIRIKI wa wanaume katika afya ya uzazi umesaidia kupunguza idadi ya mimba shuleni katika Wilaya ya Nkasi iliyopo mkoani Rukwa.
Chachu ya mafanikio...
Kundi maarufu la sanaa la Serengeti Art group la Arusha limehamia CHADEMA.Awali kundi hili lilikuwa chini ya ccm,lina jumla ya wanakikundi 49,ambao kati yao 40 watu wazima wanachama wa ccm,na 9 ni...
umanne, Agosti 21, 2012 05:38 Na Mwandishi Wetu, Mafinga *Mbunge naye kufanya ziara kijijini
MKUU wa Wilaya ya Mufindi, Evalista Kalalu amewataka viongozi wa kijiji...
Ijumaa, Agosti 24, 2012 05:39 Na Pendo Fundisha, Mbeya
UTUMIAJI wa dawa za asili kwa wajawazito ni moja ya changamoto inayosababisha watoto kuzaliwa na mtindio wa...
Hebu kina, massawe, kimario, mushi, mosha,mwasha na Moshi mnijuze kwa nini misiba yenu mnapenda mipango ifanyie eneo la bar?
Sikiliza itv, redio one na utashangaa, wachagga wa massama,au mamba au...
Thursday, 23 August 2012 21:04
Na Mwandishi wetu, Mbeya
SABABU kadhaa zimetajwa za wanawake wengi kudhulumiwa haki zao wanapofiwa na waume.Mojawapo ya sababu hizi zimedaiwa...
DC wa kibaha Halima kihemba jana mchana ktka kutembelea maeneo yao ya sensa huko wilayani kibaha vijiji mlandazi, mwalimu huyo kama karani mwandamizi alichelewa kufika eneo la kuhesabia kama...
Ndugu zangu naombeni kufamamishwa kama kuna taasisi zinazosomesha au kusaidia wanafunzi ambao wanatoka ktk familia masikini au wale amabo wameondokewa na wazazi wao wote( yatima) na hawana msaada...
Nikiwa nimefungulia radio free africa( rfa) kipindi cha watanzania tuongee magazeti, asbuhi saa 12 na 30, niliweza kusikia kwamba leo tarehe 24/08/2012. Kamanda wa polisi suleiman kova ataongea...
Leo gazeti La Mwananchi lina habari yenye kichwa cha habari:
"Mfugaji amshambulia Mwananchi na kumjeruhi"
Kilichotokea ni kuwa huyu mwenye mifugo(Mfugaji) aliingiza mifugo yake kwenye bustani ya...
Hapa jiji arusha kwa sasa karibia kila mtaa kumeanzishwa pub na zingine hazina vyoo, je watoa leseni wa uanzishwaji wa pub hizo wanazingatia sheria na viwango vya kuidhinisha ufunguaji huo wa pub...
Ndugu wanajamii,
Kumekuwa na upotoshaji wa "Kijinga na wa kupumbaza wasio na elimu" kuwa Marando Mwanasheria wa CHADEMA anatetea Mafisadi baada ya kumtetea Prof Mahalu. Hoja yangu ni kuwa, hao...
Wadau mm naomba tu kufahamishwa umuhimu wa hili tamasha kufanyika kila mwaka, na kama hawa clouds media wanahaki peke yao kuendesha tamasha hili na je kwa tathmini ya haraka haraka wanaweza kuwa...
Masaki kuna jengo moja kubwa linajengwa ghorofa 7, kibao cha client mwanzo kiliandikwa JK, wiki mbili sasa kimebadirishwa kinasomeka MRISHO. Ni Mrisho Mpoto au? tunaomba msaada kutoka kwa...