Wanaume wa kihaya kugomea vitambulisho vya wakazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume wa kihaya kugomea vitambulisho vya wakazi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ta Kamugisha, Aug 24, 2012.

 1. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,079
  Trophy Points: 280
  kutokana kwamba sisi sio wakazi bali ni washaija, hivyo basi serikali ituletee vitambulisho vya washaija, kama wamekubali kuwaletea wakazi wetu tu? haiwezekani na hatukubali, liwalo na liwe!
   
 2. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hapo sasa inabidi wataalamu wa 'linguistic' wahamie BK au la sivyo nasi tupewe mikungu ya ndizi ndipo tukubali kuhesabiwa kama hao watakaochinjiwa pundamilia
   
 3. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,829
  Trophy Points: 280
  Iwe ta kamugisha leka kujuma omutwale! Bati enjuma bakulu tejuma omoi= ( Ta Kamugisha acha kuwatukana wakubwa, mtukana wakubwa haishii kwa mmoja)
   
 4. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  upuuzi mtupu
   
 5. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wakora Ta Kamugisha. Infwact kwa chihaya Wakazi ni wanawake bwana, sasa kugamba eti chitambulisho cha wakazi sisi wanaume tutaandikishwa lini jameni. Sirikali itugambile open before siku hiyo. Ta Kajuna ulio, aba Katerero mlimu, nabakeisa.
   
 6. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Mimi Sensa nimeielewa ni ya watu na makazi na siyo wakazi!
   
Loading...