Kwa hili JK anastahiki pongezi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili JK anastahiki pongezi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rebel volcano, Aug 28, 2012.

 1. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni,mwaka huu mh:Raisi JK kajitahidi sana kuondoa ile kata kata ovyo ya umeme,baada ya vikosi vyake kuanika hadharani uozo uliopo katika shirika la tanesco na kuleta marekebisho.
  mnakubaliana nami ama?
   

  Attached Files:

 2. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Una uhakika na unachoandia? au umetumwa uje kutuchimba? nikuulize swali?" wewe unaweza kukubali kuwa Kiongozi wa nchi changa kama hii ambapo kila siku inalipa kampuni fulani X shilingi milioni 132 kila siku, siku saba kwa wiki, siku 30 kwa mwezi na miezi 12 kwa mwaka, kwa miaka kadhaa na ukae kimya?" Tunaogopa kusema wazi hadharani tunaogopa kuUlimbokiwa!!
   
 3. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usiishi kwa woga nchi ya amani hii kama unalako la kuzungumza panda jukwaani utasikilizwa tu,ya nini kutijisha??!!
   
 4. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hapa nilipo nimbakiwa na meno 26.
   
 5. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  utakuja ogopa kivuli chako wewe?? Au utajitekenya na kucheka mwenyewe
   
 6. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,827
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Njaa ni mbaya sana
   
 7. KOMBESANA

  KOMBESANA JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  kinachoudhi unataka kuviza hata akili zetu ndogo.Wabadhirifu waliteuliwa na nani?ubadhirifu wa TANESCO ulianza mwaka upi?unafikiri makataba ile miovu ya TANESCO imeshafika mwisho mfano IPTL?SYMBION?
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,183
  Trophy Points: 280
 9. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #9
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  ni kweli apewe pongezi maana ameruhusu watu waseme na kuhoji na kufanya mabadiriko pasi ya kuhoji uteuzi aliofanya
  hongera JK
   
 10. C

  CHOMA Senior Member

  #10
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 117
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni mapema mno kutoa tathmini ya hali ya TANESCO kabla tuhuma zilizoanikwa hadharani hazijafanyiwa kazi.
   
 11. C

  CHOMA Senior Member

  #11
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 117
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Uogope au usiogope kulimbokwa kifo kiko pale pale. Kwa hiyo ni afadhali kufa kishujaa kuliko kufa kwa woga na fedheha.
   
 12. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #12
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Huu ni wajibu wake, sioni haja ya kumpongeza, si ndo miongoni mwa ahadi zake, sasa kwa nini tukae hapa kujadili upuuzi huu badala ya kufanya mambo mengine. Stupid haya ni majukumu ya serikali
   
 13. sindano butu

  sindano butu JF-Expert Member

  #13
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  jk anastahili pongezi la kudhamiria kushusha thamani ya pesa yetu na si pongezi la kuimarisha tanesco . yeye ni kama nani apewe pongezi au rabda kwa sababu ya udhaifu wake. wananchi ndoo wanastahili pongezi kujitatulia tatiza la umeme kwasababu wao ndo wadau wakuu na si kikwete!
   
Loading...