Matumizi ya CNG(compressed natural gas) kwenye gari

Gamaha

JF-Expert Member
Jul 17, 2008
3,815
4,860
Heshima kwenu waungwana, nataka kufaham kuhusu matumizi ya CNG kwenye magari kama kuna mtu amekwisha install kwenye gari yake au kama kuna mtaalam hapa. Kwanza ni gharama za kufunga hii system kwenye gari. Na pia ni gharama kwa kila kilo na je unatumia KM ngapi kwa kilo KM/KG. Natanguliza shukrani.
 
Jamani kimya ina maana hapa JF hamna anayefahamu hii kitu haiwezekani
 
Back
Top Bottom