Gari la 'Prince Muro' lakwamia Mwanza

Kibagata

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
773
135
wana jf tusaidieni namba ya cm ya mheshimiwa Mwakyembe atusaidie cc abiria hapa mwz tumekwama kuondoka tangu asubuhi kuelekea DAR na hakieleweki. naona jamaa wanatujibu wanavyotaka.
 
wana jf tusaidieni namba ya cm ya mchana mwakyembe atusaidie cc abiria hapa mwz tumekwama kuondoka tangu asubuhi kuelekea DAR na hakieleweki. naona jamaa wanatujibu wanavyotaka.

Maskini watanzania, sijui nani alituloga! Wanawajibu wanavyotaka na nyinyi mnawaangaoia tu tangu saa kumi na mbili asubuhi? Asalaaaleeee!
 
Duh sina Uhakika kama Mheshimiwa Waziri anaweza kuyashughulikia Yote Haya kama individual!! Ila nadhan hao Jamaa watakuwa wana matatizo fulani ya kiufundi au Kuna taratibu za Kisheria hawajakamilisha!! Au Labda dereva anaumwa / Ulevi nk,nk. Pia ndugu Inabidi Utambue pia hata Kwenye Vyombo vingine vya usafiri huwa delays pia Hutokea!! Tupo Bongo Mkuu!! Any way Mwenye numba anaweza kukutumia ukajaribu na upande Mwingine!!
 
Wachukueni Kondakta na Dereva muwafanyizie....kama vipi nendeni pia kwa RTO awasaidieni. Upole na amani ni silaha ya maskini inayozidisha utajiri kwa wenye nacho, amkeni mdai haki zenu hata kwa nguvu. Haki haiji kwa kulemba ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom