Chadema uk wanunua ambulance, atakabidhiwa mlezi wa tawi mh lema kwenye .mkutano wa reading kesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema uk wanunua ambulance, atakabidhiwa mlezi wa tawi mh lema kwenye .mkutano wa reading kesho

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chilisosi, Aug 25, 2012.

 1. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kesho kwenye mkutano wa chadema Reading moja ya mtukio makubwa ni mchango wa Chadema UK.
  Ili kuonyesha kuwa wao sio kama magamba tayari wameisha nunua Ambulance ambazo zitapelekwa Tanzania kama zawadi kwa mheshimiwa Godbless Lema.
  Hii ni moja tu ya mambo waliyomuahidi mheshimiwa Lema alipokuwa hapa UK.
  Habari hizi zimethibitishwa na mwenyekiti wa Chadema Uk na atatangaza rasmi kesho kwenye mkutano wa reading.
  Sisi tukiahidi tunatimiza,
  [​IMG]
   
 2. Imany John

  Imany John Verified User

  #2
  Aug 25, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,776
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  hahaha CCM wao wanatudanganya na kuwachanganya wajinga.
   
 3. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Tupia Picha za ambulance................... hakika Magamba kwisha
   
 4. m

  muta jr Member

  #4
  Aug 25, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  Good move m4c
   
 5. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Peoples...................................!
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  we acha tu sisi tupo tayari kuweka mafuta na kuzifanyia maintanance, Mnatisha wana m4c UK!!
   
 7. kamtu33

  kamtu33 JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 971
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 60
  Hiyo rangi kwenye hizo gari inachefua
   
 8. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #8
  Aug 25, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Maneno na rangi tofauti,am sure mwanzisha uzi hajaona hzo rangi na muda huu nape atakuja utamsikia magari ni ya c.c.m...wakuu mnaotoa misaada mkumbuke hata kubadili rangi lol,shame on ya.
   
 9. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #9
  Aug 25, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 548
  Trophy Points: 280
  Mtu anatoa mchango alafu unamuambia shame on you kwa sababu ya rangi tu??
   
 10. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #10
  Aug 25, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  Very very niiiice
   
 11. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #11
  Aug 25, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Kuna watu wanaamini kuwa wapenzi wote wa timu ya Yanga wanaipenda CCM na ukiwa mwana CCM basi wewe lazima ni mpenzi wa Yanga.
   
 12. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #12
  Aug 25, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mkuu ambulance za uk Ndio rangi yake, zikifika bongo zitabadilishwa rangi
   
 13. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #13
  Aug 25, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Brilliant .. Keep it up
   
 14. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #14
  Aug 25, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Hiyo Rangi lazima iondolewe kwasababu hata mgonjwa anaweza akazidiwa zaidi kwa kufikiri anapelekwa ile misitu yao ya mateso ya mabwepande
   
 15. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #15
  Aug 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  God bless you guys, I can assure you many lives will be saved through the use of these ambulances.
   
 16. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #16
  Aug 25, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Najivunia kuwa Mwanachama wa Chama Cha wenye Akili!!
   
 17. M

  Malova JF-Expert Member

  #17
  Aug 25, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Hongereni sana makamanda wa UK. Hizo Rangi sio Tazito sana tutaziffanyi maujanja. Watu wengi wataokoka.
   
 18. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #18
  Aug 25, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,806
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Nngoja tusikie zengwe punde tu zikifika Dar! Well done lads!
   
 19. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #19
  Aug 25, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,901
  Likes Received: 2,319
  Trophy Points: 280
  Wale waliogoma ulaji huo, mna sijui zitaenda hospitali gani ya serikali?
   
 20. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #20
  Aug 25, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  utazania rangi ni hati miliki ya ccm.haijalishi.
   
Loading...