Tarumbeta ni hatari

ELFU-ONEIR

Senior Member
Jun 27, 2012
181
64
Jamani habari za saa hii? Jamani kuna tetesi zina sema kuwa upulizaji wa tarumbeta husababisha mabusha, je nikweli?
Kama ni kweli nawasikitikia hawa jamaa wa vikundi vya matarumbeta maana mbeleni misuli itawahusu kinomanoma.
 
siyo kweli, Kwa hapa kwetu Tanzania, kung’atwa na mbu aina ya Culex anayeeneza vimelea vya filaria kunaelezwa kuwa sababu kuu mojawapo inayopelekea kuwepo kwa tatizo la mabusha na matende hususani maeneo ya Pwani na mwambao.
 
Back
Top Bottom