Kutoka bukoba!

Omutwale

JF-Expert Member
Feb 4, 2008
1,429
1,045
Madereva wa Magari ya abiria Bukoba wameanza mgomo leo kupinga unyanyaswaji na ushuru holela wanaotozwa kuingia na kutoka stand. Mpaka sasa, hakuna gari lolote lililoingia stand kupakia au kupakua abiria. Abiria wameduawaa! Kama unapanga safari kutokea Bukoba leo unashauriwa kuwasiliana na wakala wako wa usafiri.

Habari hii ni kwa mujibu wa Waandishi Tuliopo stand. Kwa taarifa zaidi mwaweza kuwasiliana na Kiongozi wa Madereva Bw. Mutafungwa 0786-818-176
 
Hili neno BN naona mnalidhalilisha kama wafanyavyo radio one

Ni kwa sababu tu hukusoma vema walengwa na hasa msaada wa eneo hili chini hauna tija kwako:
......Kama unapanga safari kutokea Bukoba leo unashauriwa kuwasiliana na wakala wako wa usafiri...... Kwa taarifa zaidi mwaweza kuwasiliana na Kiongozi wa Madereva Bw. Mutafungwa 0786-818-176
 
Serikali legeleg, naimani kulikuwa na tatizo la mda mrefu halijapata ufumbuz that it is.
 
Hivi hapo Bukoba kuna stend ya mabasi? Mimi huwa naona ni kama zizi la punda!
 
Back
Top Bottom