TBC ovyoo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBC ovyoo!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by chi-boy, Aug 27, 2012.

 1. c

  chi-boy Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  haiwezekani habari ya Vurugu morogoro wasiitangaze hata kuigusia kidogo.
  Au ndo kufwata maneno ya Rais kwa vyombo vya habari kuacha kuichafua serikali kwa kukuza habari..
  TBC naifuta rasmii, haina tofauti na gazeti la Udaku..
  Achana na TBC, ni mradi wa kupumbaza wananchi.....
   
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,188
  Likes Received: 10,534
  Trophy Points: 280
  Kumbe kunawatu wanamda wa kutazama tbccm.
   
 3. Bwana Mapesa

  Bwana Mapesa JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,926
  Likes Received: 660
  Trophy Points: 280
  wakati wabunge wako wanaipangia bajeti bungeni..?
   
 4. mjombo's

  mjombo's JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Horible channel never seen
   
 5. c

  chi-boy Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kama mashirika mengine ya serikali yanavyokufa na hili linafwata..
  Serikali hii haijifunzi..
   
 6. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #6
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Ulikuwa unaangalia TBC, kwani leo orijino komedi wameigiza nini?
   
 7. A

  Apex JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 429
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tbc ccm swala la ulimboka kutekwa hawakusumbuka kabisa,mauaji arusha,songea na leo imetokea morogoro,jaman tbc tambueni nyinyi mnatamba kwa kodi zetu,jaribuni kufungua akili zenu,mkicheza nyote 2015 mtazipoteza kazi zenug,take care
   
 8. t

  thatha JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Tusiwalaumu sana TBC1 kwa vile maandamano yenyewe yalikuwa batili kwa mujibu wa jeshi la polisi. Sijui sheria inasemaje, mwandishi wa habari akidhuriwa katika mikusanyiko ambayo siyo halali na hasa ukizingatia vyama vya siasa vinakuwa na chuki binafsi na baadhi vya vyombo vinavyomilikiwa na Serikali na hivyo vinakuwa vinaogopa kuafanyia vurugu na mfano mzuri ni mkutano wa CDM pale jangwani mwaka 2010 ambapo Waandishi wa habari wa TBC1 walifanyiwa vurugu. Halafu jambo lingine Vyombo hivi vya habari vinakosa morari ya kuandika habari kutokana na ukweli kwamba vimekuwa vikitupiwa shutuma kuwa vinaipendelea serikali, sasa vinaona hakuna haja kabisa ya kuandika habari zao, jmbo ambalo binafsi naona viko sahihi kabisa. Huwezi kuvishtumu halafu ukataka viandike habari zako.
   
 9. g

  geoscientist Member

  #9
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna wakati nilikuwa nalazimika kuitizama kwa kuwa king'amuzi uchwara hakidaki local chanels kama STAR TIMES na ITV, lakin bora kusimuliwa habari kesho yake na waliongalia channel nyngn...TBC uozo tu
   
 10. g

  geoscientist Member

  #10
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kichaa
   
 11. t

  thatha JF-Expert Member

  #11
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Wameajiriwa kwa mujibu wa sheria hata ukija wewe mkuu na kuwa mwanasheria mkuu wa serikali hiyo mpya huna mamlaka ya kuwafuta kazi. Wanaogpoa kuambiwa wanapendelea Serikali so wanaona bora wapige kimya. Mimi nafikiri nia fundisho kwa asasi ambazo zinatangulisha hisia z kisiasa na kuanza kuvishutumu vyombo vya habari bila ya kuwa na ushahidi wa shutuma zao. TBC1 kamwe hawawezi kuwa na morari ya kuandika habri zaCDM kwa vile hata wakijitahidi vipi kuandika kwa ufasaha wataambiwa wanapendelea serikali.
   
 12. t

  thatha JF-Expert Member

  #12
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Tuambie nani siyo hovyoo badala ya majungu
   
 13. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #13
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Dhaifu, na kila kitu dhaifu, ... ni dhaifu kwenda mbele !!!!
   
 14. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #14
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wewe unaonyesha kabisa unakitu na serikali au Tbc yenyewe au unafanya kazi Tbc?ACHA UMAGAMBA SISI TUTAWANG'OA 2015 THEN WAKASHTAKI POPOTE.
   
 15. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #15
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Sitaki kuamini kuwa kuna watu bado mnaiangalia hiyo channel!!!!!
   
 16. anjnr

  anjnr JF-Expert Member

  #16
  Aug 27, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 483
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kwao kipaumbele kwa sasa ni sensa tu! Oneni aibu wafanyakazi wa tbc1. Katika ulimwengu huu wa utandawazi inashangaza kufichaficha habari kwa sababu tu si njema kwa watawala. Hata watoto wadogo hapa nyumbani hawaitaki, shortly ni channel ambayo inapoteza mvuto kila kukicha, mnachukiza tbc!!!!
   
 17. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #17
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  ITV waliionesha hadi kama live vile.
   
 18. M

  Mchokozi JF-Expert Member

  #18
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kuanzia jana mii siangalii taarifa za habari zote za TV za Bongo kwani BBC Swahili kupitia STAR TV inatosha kabisa kwani habari ni za ukweli na uhakika
   
 19. Finder boy

  Finder boy JF-Expert Member

  #19
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 598
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 60
  Naanza kuwa na wasisi na wanajf nahisi wanatumiwa na wanasiasa
   
 20. Finder boy

  Finder boy JF-Expert Member

  #20
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 598
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 60
  Tusipost vitu kwa interest zetu binafsi, TBC wamefanya mangapi mazuri, wameelimisha jamii mara ngapi, Tutafakari na tuchukue hatua. TBC ni chombo cha habari kama vyombo vingine na hakina upendeleo wowote. Let us talk the truth & abandon political propaganda.
   
Loading...