Tamasha la Fiesta wanalipa kodi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamasha la Fiesta wanalipa kodi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TIQO, Aug 29, 2012.

 1. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Kuna tamasha la Serengeti Fiesta linarabitiwa na clouds media wanazunguka karibia miji mikubwa yote Tanzania bara swali langu je viingilio vya getini vinalipiwa kodi yaani maafisa TRA wa mikoa husika wanahakikisha mashabiki wa mziki wanapewa tiketi zile zenye nembo ya TRA? Kama tunazo pewa madukani? Au ni huruma tu serikali imeamua kufumba macho kwa vile clouds media walihusika kwa nguvu zote kukipigia debe chama tawala? Mbona mashabiki wa mpira wanalipia kodi iweje hawa wa mziki wasilipie?
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kama hadi leo wawekezaji wa migodini hadi leo hawalipi kodi, ndo walipe Fiesta!!!
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Dah hili swali muhimu kwa kweli
   
Loading...