Haya haya kumekucha uwanja wa nyumbani, uwanja wa CUF Jangwani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya haya kumekucha uwanja wa nyumbani, uwanja wa CUF Jangwani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mwigo, Aug 29, 2012.

 1. m

  mwigo Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya haya kumekucha uwanja wa nyumbani, asiyebeba mwana aeleke jiwe siku ya tarehe 9/9/2012 katika viwanja vya Jangwani.

  Prof. LIPUMBA ataongoza mamilioni ya watanzania akielezea sera ya kugawana rasilimali zetu huku tukichangia pato la taifa.

  Karibuni mje msikilize namna tutakavyonufaika na sera hii ya CUF.

  Hakiiiiiiiiiiii.
   
 2. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Teh teh! Eti Profesa wa dunia! Kiaje?
  Kugawana rasilimali zetu huku tukichangia pata la taifa! how!
   
 3. B

  BAIGANA New Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Jul 29, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Viongozi wa CUF hawaoneshi njia ya kuimarisha chama, wameng'ang'ania Jangwani tu. Hili ni GAMBA JINGINE
   
 4. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Prof. I H Lipumba kweli ana tamaa tu ya urais,lakini angeenda Tabora akagombee ubunge angepita bila kupingwa imma ajiunge chadema awe waziri wa uchumi,mipango na fedha kuanzia nov.2015.
   
 5. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ha! anaza komedi
   
 6. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Kwanza aseme ni kwanini aliwachangia Tsh 100,000/- kina Ponda Issa Ponda
   
 7. z

  zamlock JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  ha ha ha hv akina mtatiro wako wapi?
   
 8. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Mtatiro alikuwa kwenye mfungo
   
 9. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #9
  Aug 29, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Mtatiro bado anatafakari kuhusu utayari wake wa kuendelea kuwa CUF, kwa sasa ameamua afanye masters kwanza ili atakapo ng'oka angalau ruzuku iwe imefungua mlango wake kielimu.

  Hahahaha hakiiIiiiiii! Sio kwa Hamadi Rashidiiiiiiiiiiiiiiii!

  Hakiiiiii kwa Maalimu na Pro wa uchumiiiii

  Asanteni.
   
 10. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee babaangu nyumba ndogo ya maganba hii nasikia caf wanamimba sijui watajifungua lini
   
 11. Advicer

  Advicer JF-Expert Member

  #11
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Mamia bwana!mamilioni awatoe wapi ccmb?
   
Loading...