ITV mmenihuzunisha. . . | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ITV mmenihuzunisha. . .

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sembo, Aug 27, 2012.

 1. sembo

  sembo JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 3,350
  Likes Received: 1,202
  Trophy Points: 280
  Leo ktk taarifa ya habari ya sa 2 usiku, walichukua dk. takribani 5 kuonesha mazishi ya Baba yake Erick Shigongo, maswali nayojiulza ni kuwa,
  >Huyu mzee alikuwa maarufu kiasi cha kupewa airtime mda wote huo?
  >Au ndo kwa sababu Mh. Mengi alihudhuria?
   
 2. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Mkuu umesahau kuwa Mengi ana mwandishi wa habari wa kwake peke yake ambaye ana monitor nini anafanya kwa siku na kuleta habari IPP media. Hapo issue si umashuhuri wa Baba yake Erick Shigongo, issue ni Mengi kafanya nini leo
   
 3. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Je TBC ilikufurahisha?
   
 4. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  Msilalamike sana. Jiulizeni na Nyie kama Mngekuwa wamiliki wa I.T.V mngetaka kupewa Dak ngapi kwa kila Mnachokifanya??
   
 5. only83

  only83 JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Kwahiyo msiba wa mtu maarufu ndio unapaswa kuonyeshwa kwa dk tano si ndio? Ebu tuache ukoloni, kwani kuonyesha msiba wa mtu asiyefahamika ni vibaya?
   
 6. KANYIMBI

  KANYIMBI JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 308
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Sasa tatizo liko wapi hapo?. kwenye taarifa hiyo Mbona mie nimepata habari ya maandamano na mkutano wa Chadema wa pale moro iliyodumu kwa dakika 7.
   
 7. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 1,713
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo ngoma droo?
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Si ungeangalia TBC1??????
   
 9. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Change the channel!!
  Wa Tz bana yani tumezoea kulalalmika kwa kila kitu!!
   
 10. Varbo

  Varbo JF-Expert Member

  #10
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 1,025
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Basi na wewe unapenda kuhuzunika sana yaani kitu kidogo tu hicho unahudhunika hio sio TV ya Taifa mtu wangu!! Pengine Shigongo ametoa pesa ya airtime!!!:eek2:
   
 11. Kyenju

  Kyenju JF-Expert Member

  #11
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 4,573
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  Uo ni utoto kulalamikia kila kitu. na usitegemee kuwa utafurahishwa na kila kitu unachokiona, au kila kitu unachokipenda na wengine wanakipenda.
   
 12. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #12
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Mh, kwani mnalazimishwa kuangalia? Ukiona inakuboa badili channel...
   
 13. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #13
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,080
  Likes Received: 10,438
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa saloon flan hivi huku ngalelo yenye tv, jamaa alijisahau akaweka tbc muda ule wa habari. Poeple zilitaka mshushia kipigo jomba wa watu eti kwanini haweki ITV wakati habari imesheanza..
   
 14. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #14
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Mi sijahuzunishwa,na ilo tukio bt nimehuzunishwa na aliyetangulia mbele ya haki.Lakni,kama mimi ningekuwa mtoa mada ningeileta ktk logic hii;BABAKE James,alikuwa nani mpaka,Mamia, vigogo baadhi,makada wa nyinyiem hata Waziri haudhulie Lile tukio?Nawapongeza VIONGOZ wa Parokia wa sehemu husika,wamemtuma Katekista.ingawa ametema cheche!Rip Mareh.
   
 15. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #15
  Aug 27, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,588
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Watu hawaendi kwenye msiba kwa sababu ya marehemu, watu wanaenda kutokana na jina la mfiwa. Hiyo ndiyo jamii ya siku hizi. Ndio maana mgonjwa hata ndizi hapelekewi lakini akifa jeneza linameremeta, watu wanachanga ili waonekane wametoa!
   
 16. mark x

  mark x Member

  #16
  Aug 27, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  mkuu umeongea inavyoonesha hao sio wahudhuriaji wazuri wa kanisa...
   
 17. z

  zamlock JF-Expert Member

  #17
  Aug 27, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Majibu mbona unayo
   
 18. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #18
  Aug 27, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,034
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Nini itv ? Huku moro kuna chanel inaitwa abood tv hiyo ni balaa . Mmiliki wake hata akienda kununu ndizi sokoni wanaonyesha nusu saa
   
 19. M

  Mfwalamanyambi JF-Expert Member

  #19
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 434
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  umeshaambiwa ITV ni ya kwake, na angeweza kutumia hata dk 10 usimfanye chochote.Kama hukutaka si ungebadilisha channel? au TV yako inadaka ITV pekee???.
   
 20. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #20
  Aug 28, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,716
  Likes Received: 239
  Trophy Points: 160
  kwenye bold, siyo Mh Mengi, ni Dokta Mengi.

   
Loading...