Namba za magari na ushawishi wa kisiasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namba za magari na ushawishi wa kisiasa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by RAU, Aug 21, 2012.

 1. RAU

  RAU Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Muda si mrefu kutakuwa na namba za magari kama T001 CCM, T005 CDM, T007 CCJ, T101 CUF na nyinginezo nyingi.
  Je namba hizi hazitakuwa na ushawishi kisiasa kwa kuwa zimebeba m vifupisho vya vyama vya kisiasa?
  Je ziruhusiwe kutumika au zinaweza kuondolewa kwenye mtiririko wa namba rasmi nchini kuepusha M/kiti CDM ana gari lenye namba T100 CCM au M/kiti CCM ana gari T100 CDM?

  Tuna omba ushauri na wahusika waliopo mtandaoni wayapokee maoni.
   
 2. Mromboo

  Mromboo JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 684
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Mimi Ni T 015 CDM
   
 3. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,017
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Dah itakuwa full burudan, heb imagine gar ya nape T015 CDM
   
 4. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #4
  Aug 21, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 16,773
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Tukifikiria mbali zaidi kama Great Thinkers,
  Ziruhusiwe kupaki karibu na vituo vya kupigia kura Siku ya Uchaguzi??
   
 5. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #5
  Aug 21, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 2,880
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  T 215 CDM awe nayo kikwete
   
 6. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #6
  Aug 21, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,279
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Huwa wanazi-skip kuavoid mkanganyiko
  Imagine T XXX BOO, T XXX IGP,T XXX VAA/VUA, T XXX HIV etc..
   
 7. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #7
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 5,617
  Likes Received: 1,109
  Trophy Points: 280
  Hawazi-skip mi nakumbuka nimemuona siku moja Nape akiwa kwenye gari lenye namba TxxxASS
   
 8. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #8
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,147
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  with the introduction of new number plates you may find CCM CHALI, CHADEMA JUU, M4C FOREVER, CHADEMA NOMA etc you may add as appropriate
   
 9. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #9
  Aug 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,509
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  Mbona zipo Tayari Nyingi Ie T XXX BAR, T XXX BAD, TXXX BAO
   
 10. Davie S.M

  Davie S.M JF-Expert Member

  #10
  Aug 21, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Ni Upuuzi kama tulishindwa kuzuia namba kama Hii T000ASS..tukashabikia izo number

  Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
   
 11. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #11
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,017
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  mi yangu T***ATM
   
 12. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #12
  Aug 21, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sitamiliki chombo chochote chenye namba T.... CDM. Nitasubiri mpaka nambari hizo ziishe kabisa.
   
 13. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #13
  Aug 28, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,019
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  O na I tu ndo hazitatumika,zingine mwendo mdundo.Na unaweza kuomba namba special kwa 5m,onyesha njia mkuu.
   
 14. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #14
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,279
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  iNKOSKAZ ipo barabarani ila ni Massey Fergusson naitumia huku shamba ndo maana huionioni town
   
 15. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #15
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,019
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  Poa inko...........siku moja moja njoo nayo town.
   
 16. o

  oyaoya JF-Expert Member

  #16
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ah... kama ndo hivyo basi ADC itakuwa wamekionea, yani ilitoka tangu mwaka 1998 halafu ndo kwanza kimesajiliwa juzi... mwe!!! Kama ndo hivyo hichi chama hakitaexist longer, gari zote TxxxADC zimeshakufa zamani ama zinachungulia kaburi. Mi naona kiitwe CDA kiujanja ujanja ili na wao wawemo kwenye competition...
   
 17. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #17
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,324
  Likes Received: 1,457
  Trophy Points: 280
  Unamaana ADC chama cha Mujahidin?
   
Loading...