Sijaehesabiwa- Sijui kama Nitahesabiwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijaehesabiwa- Sijui kama Nitahesabiwa.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by vivian, Aug 28, 2012.

 1. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  usiku wa Tra 26 hawakupita kwangu.

  Tar 26 Mchana hawajapita

  tar 27 nikaanza mwendo wa Ofisi.

  sasa nitahesabiwa Lini na wapi?

  coz wanamalizia kuhesabu Jmosi.
   
 2. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Nitakuja kukuhesa, usijali
   
 3. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...kumbe bado muda unao mkuu alafu walalamika!
   
 4. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kesho usiende ofisi uwasubiri wanaweza kupita, Pole sana!
   
 5. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ha ha ha ha ha umepangiwa wap na VIVI anaishi wapi? masihara mwenzenu yupo serious!
   
 6. T

  Tata JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Walisema kama unaona hujahesabiwa ndani ya siku tatu unatakiwa kwenya kwa ofisi za serikali za mtaa wako ili upate kujua kinachosababisha usihesabiwe. Nakushauri ufanye hivyo.
   
 7. T

  Tata JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Futa kwenya weka kwenda.
   
 8. HUGO CHAVES

  HUGO CHAVES JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  mi pia sijahesabiwa na sijui zoezi hili linaendaje na ukizingatia watu wengi hawana ratiba .
   
 9. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Tareha 26 niliamkia hotel
  pale sasa sipo je ni hesabiwe wap?
  kazi kweli kweli
   
 10. m

  mlandali honoli Member

  #10
  Aug 29, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kwani sikuna taratibu kwa wale wasionamakazi maalum wanahesabiwa hata barabarani mbona me bado hata sijahesabiwa na sijui lin coz natoka asubuhi narudi night sasa nadhan kuna shida kidogo ktk mipango yao watashindwa kupata idadi kamili ya watu kama wataendelea kufuata utaratibu mmoja wakwenda kwa mkuu wa kaya
   
Loading...