kichekesho:Vipi Sumsung wakiwalipa Appl $1bn -soma hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kichekesho:Vipi Sumsung wakiwalipa Appl $1bn -soma hapa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nicholas, Aug 29, 2012.

 1. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  Habari ya kushekesha na kukumbusha wanasheria kuwa makini wanavyotoa huduma. Hapa mwanasheria kuacha kuweka kipengele cha kuelekea jinsi ya kutoa malipo ya fine katika kesi ya Apple dhidi ya Sumsung.

  Je habari hii ikiwa kweli mambo yatakwendaje? By the way ni kichekesho Samsung watapata wapi hizo sarafu zote?

  Soms hapa
  Samsung Pays Apple $1 Billion Sending 30 Trucks Full of 5 Cents Coins - Paperblog
   
 2. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu hebu tulia uandike vizuri basi ueleweke, maana umeandika mkorogo kwelikweli.
   
 3. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa waelewa wa mambo ya kibiashara pamoja na shirika apple kulipwa pesa zote hizo zaidi ya $bilioni 1 na upuuzi ila atakaefaidika zaidi ni samsung kwa kuwa toleo la simu alilotoa ambalo kaiga kwa kiasi kikubwa kwa apple ni bei rahisi sana,kwa maana hiyo mwaka huu tu samsung ikiingiza faida ya $ bilioni 25-$ bilioni 1 aliyowalipa apple ana $ bilioni 24 safi hehehehehe hao hawaendi kichwa kichwa na kabla ya kutengeneza simu hiyo walishajua mahakamani watapelekwa na faini watalipa walipoona inawalipa wakaamua kuiga hiyo kitu!!!(huko watu wahaendi kichwa maji)
   
 4. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Halafu ki ukweli hii ni hoax tu na si kweli. Samsung wamezipata wapi coins zote hizo wakati wenyewe biashara yao si ya rejareja ya kupokea hizo coins. This is totally a hoax.
   
 5. G

  Ginner JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  ivi naomben msaada wadau...ni simu gani iyo ambayo samsung wamekopy na kupaste toka kwa apple
   
 6. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  fungua hizo picha utaelewa mengi juu ya sakata hili
   

  Attached Files:

Loading...