Sensa: SHADING ZAFANYIKA MTAANI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sensa: SHADING ZAFANYIKA MTAANI

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Msambaa mkweli, Aug 29, 2012.

 1. Msambaa mkweli

  Msambaa mkweli Senior Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mtaani kwetu, kunavijana wanne wa shule za msingi(Artists), wanapinga dili la shading karatasi za sensa, moja kwa Tsh 100. Haswa kwa wale mateacher wa vivu, madogo wanakula pesa. Makarani wanagombea, washikaji wapo bise kinoma. Walipewa dili na karani mmoja kisha dogo wanaendelea wenyewe. Hapo vipi wadau?
   
 2. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Samahani, Hebu fafanua zaidi kuhusu hii 'Shading'. Wanafanya nini hasa hasa na inahusiana vipi na hao makarani wavivu, kwa maana kwamba wanapaswa kufanya nini na kwa uvivu wao wanawalipa hao vijana shs mia mia ili wawafanyie nini??
   
 3. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Umenikumbusha mchezo wa kuigiza(zamani kidogo) wa Ngoswe! Hizo karatasi zitaishia jalalani.
   
 4. Msambaa mkweli

  Msambaa mkweli Senior Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Inavyoonekana makarani, wamepita kwenye kaya, na kunote majina tu bila kushade hukohuko, ila wameweka alama tu kama doti(.), then madogo fullkushade. Dodoso moja refu au fupi wanachukua 100, karani ndio anawapa mwenyewe. Make research on it.
   
 5. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  ivi wewe una umri gani? watoto wa primary unawaita washikaji? thn mi cjaona shida kwan hata wakisiriba wala hawataekewa kitu,data zipo ktka code form,zimegereshwa tu
   
 6. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  na huwezi kufanya kazi mbili kwa wakati mmoja, kushad ni kazi kubwa kuliko kuandikisha
   
 7. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  hao watoto wanafanya mazoezi kwani naskia gvment yenu imesema mitihan ya primary utakuwa ni ya kushade...eri qanafunzi ni wengi,,?
   
 8. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Aaah,nimekupata,maana hata kwangu walipita wakachulua particulars zangu wakaishia.Anyway tuwaache wapige hela.
   
 9. Msambaa mkweli

  Msambaa mkweli Senior Member

  #9
  Aug 29, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Swala la muhimu hapa ni utunzaji wa siri, kumbuka makarani wameapa kutunza siri, upande wa juu kulia mwa dodoso "TUNZA SIRI" JE mantiki ya kiapo cha siri ipo wapi?
   
 10. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,567
  Likes Received: 1,074
  Trophy Points: 280
  Sio siri hii sensa imefeli, mh, awamu ya nne hii!!!!!!!!!
   
 11. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #11
  Aug 29, 2012
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kushade ni kupaka wino viduara vilivyo wazi katika OMR sheet ili kumatch na information uliyonayo katika sheet ya kawaida. Hii inarahisisha katika kuprocess data zako kwa njia ya kompyuta, mfano kuhesabu viduara kwa kupitisha OMR sheet katika scanner maalum zinazosaidiwa na software za kusoma kunarahisisha uhesabu wa information yako kuliko kuhesabu manually. Mfano wa shading katika OMR sheet ni kama ionekanavyo picha hapa chini:

  [​IMG]
   
 12. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #12
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,347
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  usichangae tukaletewa takwimu zisizo na ukweli
   
 13. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #13
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  kwa kweli data za sensa sio za kutegemewa na kutumika kwa sababu mambo mengi hawayachukui,
  mfano walipokwenda baadhi ya maeneo walimuuliza mwenye kaya maswali yote yamuhusuyo,na wakati ndani ya nyumba kuna mke naye ana taarifa zake ambazo hawakuzitaka zaidi ya jina lake, na kuna watu wengine wanaojitegemea wakiwa na familia zao wamepanga nyumba ndogo ndogo humo humo ndani.hawa wahesabu sensa hawakujisumbua kabisa kujua taarifa zao zaidi ya idadi yao.
  je kama wanataka idadi tu ya watu hapo sawa.ila kama idadi hii inaendana na kujua wategemezi ni wangapi wenye alemu fulani ni wangapi na mengineyo sidhani kama sensa wamejipanga vizuri. na wahesabu sensa wanayaharibu sana maswali au kumodify ktk hali ambayo wanaacha lengo kuu.
  nina wasiwasi na sensa hii.
   
Loading...