Stand ya Mwenge kuhamishiwa Makumbusho,ni sawa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Stand ya Mwenge kuhamishiwa Makumbusho,ni sawa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Watu8, Aug 29, 2012.

 1. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,317
  Likes Received: 2,604
  Trophy Points: 280
  Nilikua nasikiliza Radio One asubuhi hii,nikasikia eti ile terminal ya mabasi pale Mwenge inahamishiwa Makumbusho...
  Eti moja ya sababu ni kwamba wafanyabiashara wanaopanga bidhaa chini na mezani nyakati za jioni,wanasababisha kituo kuwa finyu. Hivyo suluisho ni kuhamisha kituo chote wakiwemo na wafanyabiashara kwenda Makumbusho.
  Je hii ni sawa? mbona hawa watunga sheria wanataka kututesa.
   
 2. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Inawezekana; lkn pale Makumbusho hakuna nafasi tena! ileOpen space iliyokuwepo awali imeisha vamiwa na wenye pesa na kujenga majengo yao ya nguvu; au wana mpango wa kubomoa vijinyumba vya walala hoi walioko maeneo ya pembeni kuzunguka iliyokuwa Stand zamani??
   
 3. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  si sawa........
   
 4. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,317
  Likes Received: 2,604
  Trophy Points: 280
  binafsi naona ni vyema kituo cha mabasi kiendelee kuwepo kama kawaida.
  Mwenge imeshakuwa moja ya vitongoji vyenye idadi kubwa ya watu wanaofanya biashara na shughuli za kiofisi...leo hii pakigeuzwa kama kituo kidogo na si terminal,watu hawa unawawekea mazingira magumu ya kupata usafiri.Mabasi yatakua yanapita yakiwa yamejaa
   
 5. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  huwa inatokea tanzania tu!
   
 6. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  ni ujinga sana
   
 7. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,835
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Kwani watu kutoka na Kurudi Makazini Unahitajika kwenda stend Kufanya nini? Nataka kwenda Ubungo kutoka Mwenge, Nipande Basi Hadi makumbusho ndio nitafute basi ya ubungo? Mimi sijaelewa!! Labda unieleze ni stendi ya Kibaha, Bagamoyo na Mlandizi Ila sio kwa Town trips, Itakuwa ni Kupotezeana Muda
   
 8. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,835
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Wanachotakiwa wafanye wafidie Watu Pale Mwenge Lipatikane eneo Kubwa kwa kuwa stend, That is Good Intersection!!
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  ukisema wanawatesa watakujibu ni serikali sikivu, hivi dawa ya tatizo ni kulikimbia ama kukisolve? Inamaana na makumbusho wakijaa watahamia moroko? Mwisho wake watafika k.koo
   
 10. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,317
  Likes Received: 2,604
  Trophy Points: 280
  labda kuna kitu unashindwa kukielewa ndugu...kuna bus stand na bus terminal..
  Mwenge, kama ilivyo Posta, Kivukoni, Mbezi Mwisho, Tandika n.k ni kariba ya Bus Terminal...yaani mabasi yanaanza na kumalizia safari zake...
  Magomeni Mapipa, Kwa mtogole, Tabata Relini n.k ni kariba ya Bus Stand...yaani basi linasimama kushusha na kupakia abiria..
  Sasa unapotaka kuifanya Mwenge iwe ni Bus Stand wakati inahudumia watu lukuki, ni kutaka tu kuwatesa watu. Mpaka sasa vile ilivyo ni terminal lakini inaelemewa kwa kuwa watu fulani miaka ya nyuma walishindwa kupanga mipango endelevu...
  Wakabinafsisha maeneo ili wafanye biashara...leo hii wanakuja na mbadala wa kuhamisha Terminal
   
 11. S

  Starn JF-Expert Member

  #11
  Aug 29, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mbona makumbusho palishauzwa siku nyingi?
   
 12. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #12
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,317
  Likes Received: 2,604
  Trophy Points: 280
  paliuzwa kwa nani?
   
 13. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #13
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Yale majengo ya makumbusho stand ni ya nani? Kuna bar moja napendelea kwenda kunywa inaitwa "simba kapakatwa"...just around that area!
   
 14. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #14
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,913
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Duh, hili wazo mbona limekaa kushoto hivi?
   
Loading...