Mkurugenzi huyu ameshindwa kazi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkurugenzi huyu ameshindwa kazi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PMNBuko, Aug 28, 2012.

 1. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa takribani siku 2 Mji wa Bukoba hauna usafiri wa Hiace kutoka na kuingia mjini.

  Wenye magari hayo ya abiria wamegomea ushuru wa Tshs 2000 wanaotozwa kila gari linapopakia abiria stand.

  Wanataka kulipa fedha mara moja tu, stand iboreshwe kwa kuweka huduma na miundombinu muhimu. Madai yao haya ni halali. Pia, sumatra nao hawakwepi hili kwa kutoibana Manispaa kutatua mgogoro huu.

  Wananchi wanaingia gharama ya kukodi magari na hata kutembea kwa miguu kwa umbali wa kati ya km 3 hadi 10.
   
 2. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mgomo hadi kesho unaendelea... no one gives a dam!!
   
 3. s

  sanga malua JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndio mitanzania ilivyo. imepewa kazi haifanyi kazi. Mkurugenzi mzima anashindwa kutatua tatizo dogo tu mpaka mwakyembe aende.
   
 4. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Ndio faida za kumchagua gamba na kumuacha jembe LWAKATARE; huyo gamba mliempa siku hizi kazi yake kuruka na ndega za Tanapa tu amekwisha sahau alikotoka!!
   
Loading...