Kitakachowaponza CHADEMA ni hiki hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitakachowaponza CHADEMA ni hiki hapa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zema21, Aug 26, 2012.

 1. zema21

  zema21 JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 619
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Kwanza naomba ku-declare kuwa mimi si mshabiki wa chama chochote cha siasa! ila ni mfuatiliaji nikipenda kujua sera na mikakati ya kila chama! Hv sasa vijana walio wengi wanadhani kuwa chadema ndicho chama kitakachokuja kuwakomboa na kuwaondolea wimbi la umasikini!
  Binafsi nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali yanayojadiliwa hapa kwenye jukwaa la siasa! Tatizo kubwa nililoliona kwa washabiki wa chadema ni kuwa mara nyingi/wengi wanapoona mtu ameanzisha thread ya kuichallenge chadema hulipuka kwa majibu makali, dharau, kejeli au kashfa....mara utasikia eti hauna akili, au mnafiki au majibu makali, hili ni tatizo.. Unapopata challenge lazima uipangua kwa hoja yenye hekima na busara jambo hilo litatufanya tuwaamini ni kuwapa dola lakini si kwa majibu ya kejeli, kashfa au dharau.. ieleweke nyie wenye majibu ya mtindo huo ndo mtakaokuwa maDC, wenyeviti wa mitaa n.k...sasa majibu yenu ndo yatakuwa hivyo kwa wananchi wenu? Jitafakarini............................
   
 2. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  naanza mimi...wew ni kilaza hakuna hoja uliyobandika hapo juu
   
 3. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Majibu hutokana na swali lilivyoulizwa. Ukiuliza utumbo usitegemee kujibiwa tofauti! Got it?
   
 4. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Jitahidi kutafuta ngozi ngumu kustahimili mashambulizi toka upande mwingine. Sio lazima watu wakufurahie kwa kila jambo. Mfano mzuri rais wetu JK anapenda kufurahishwa tu na wasaidizi wake hataki kuskia ukweli unaouma na matokeo yake anadanganywa kila siku. Hata wewe mleta mada kama unapenda kufurahishwa tu bila kupingwa nenda facebook ambako atakayekupinga unamdelete, ila hapa lazima watu wakushukie tu.
   
 5. zema21

  zema21 JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 619
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  jaribuni kujenga hoja katika majibu yenu!!!!!!! hv ukiwa unaoga akaja chizi na kuchukua nguo zako akakimbia nazo utamkimbiza!?
  nani atakayeonekana chizi zaidi?
  kama mtu akianzasha utumbo mjibu kwa hoja ili ajione yeye mjinga
   
 6. zema21

  zema21 JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 619
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  jaribu kuwa mwelewa mimi sifurahishwi hata kidogo na mwenendo wa magamba....
  huwa sijawahi anzisha thread yoyote ya kuwaponda chadema....ila ninachosema ni kwamba tujaribu kujikita kujibu kwa hoja badala ya matusi!!!!!!!! mbona hamuwi waelewa?
   
 7. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  better remain silent and be considered a fool than speaking and remove all the doubt
   
 8. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nawashangaa wanaotetea chama cha msimu CDM!
   
 9. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  sasa hili ni tatizo la Chadema au la wafuasi/washabiki wa chadema?
   
 10. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 180
  Mleta thread umeongea jambo la maana mno,kujibu kwa hoja nzito ndio msingi wa u great thinker...ila mtu akipost thread ya kijinga,kwa mfano kuna mtu amewahi kupost humu thread ambayo maneno pekee aliyo andika ni,"CHADEMA HAIFIKI MWAKA 2015."Hii haikuwa title bali ndio content ya thread yake.Kumuita mtu kama huyu ni KILAZA ni kumtendea haki kabisa.
   
 11. zema21

  zema21 JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 619
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  jaribu kuwa mwelewa mimi sifurahishwi hata kidogo na mwenendo wa magamba....
  huwa sijawahi anzisha thread yoyote ya kuwaponda chadema....ila ninachosema ni kwamba tujaribu kujikita kujibu kwa hoja badala ya matusi!!!!!!!! mbona hamuwi waelewa?
   
 12. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  sigara gani umevuta mchana huu we ****? Acha mawazo ya pombe.

  Nyambaff...........!
   
 13. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #13
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  JF ina majukwaa mengi sana, angalia jukwaa ambako post yako ita-fit
   
 14. M

  Molemo JF-Expert Member

  #14
  Aug 26, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Magamba at work
   
 15. zema21

  zema21 JF-Expert Member

  #15
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 619
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  hofu yangu mkuu ni kuwa chama kinajengwa na wanachama! kama wanachama wapo hovyo hovyo ni dhahiri chama kitakuwa cha hovyo hovyo!!!
   
 16. w

  wikolo JF-Expert Member

  #16
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 801
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kukusaidia kidogo hapo kwenye rangi nyekundu, CHADEMA wakiingia madarakani hawatakuwa na hao watu kwenye utawala wao manake wanaamini kwamba kuwa nao ni kufuja rasilimali chache tulizonazo!
   
 17. zema21

  zema21 JF-Expert Member

  #17
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 619
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  ndo majibu yenu haya yaani hapa hakuna hoja wala jibu lolote la kuonyesha ukomavu wa kisiasa ila ni matusi!!! hivi ndo mtatuongoza kwa mtindo huo? wananchi wategemee nini toka kwenu poleni
   
 18. zema21

  zema21 JF-Expert Member

  #18
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 619
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  okay hata kama hamtakuwa na maDC basi viongozi wa kada za kati na za chini
   
 19. zema21

  zema21 JF-Expert Member

  #19
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 619
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  mkuu sina umagamba wowote ule!!!
  kwanza siwapendi hao jamaa nilidhani chadema mngeweza kuwa mbadala lakini kwa hili mnanitisha
   
 20. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #20
  Aug 26, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Kaka this is too much......busara japo kidogo itumike hata kama mtu ameandika UTUMBO, sifikiri kama ni busara kumjibu namna hiyo....Samahani kama nimekukwanza, NAOGOPA KWELI KUITWA ****......namkumbuka MFALME ****. Siyo kweli kwenye thread yake hakuna hata moja la maana, yapo machache ya kuyafanyia kazi. Ni kweli, baadhi ya WASHABIKI wa CDM wamekuwa wakitukana au kutoa lugha ya dharau punde inapotokea CHALLENGE au criticism. Nashauri tubadilike, tutoe majibu yenye busara hata kwa maswali mabovu ili muulizaji au mtoa hoja ajione MJINGA, vinginevyo tutajipa matumaini lakini mwisho wa siku WASHABIKI watatuharibia, japo mashabiki hawakiathiri chama DIRECTLY, but all of us we are seen as if we dont spend a minute to think before we talk.
  NI MTAZAMO TU.
   
Loading...