chadema vipi mnaweza kuwahakikishia wananchi kuwa ahadi zenu si ahadi hewa??!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

chadema vipi mnaweza kuwahakikishia wananchi kuwa ahadi zenu si ahadi hewa??!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rebel volcano, Aug 29, 2012.

 1. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna msemo unasema:"mfa maji haishi kutapatapa!!"ukimaanisha kuwa mtu mwenye shida hukamata chochote ili kimsaidie hata kama ni nyoka!!,swali langu kwa viongozi wa chadema:vipi mnaweza kuwahakikishia wananchi kuwa ahadi zenu si ahadi hewa??!!,si nyinyi tu mliopata wafuasi kiasi hicho kabla ya kuingia madarakani,lakini baada tu ya kuingia madarakani madudu yakanza na wafuasi kugeuka kuwa wapinzani wakubwa,wengi wakihojiwa kwa nini??!!!hujibu:mji wa roma haukujengwa kwa siku moja!!!
  na kuwa na wafuasi wengi si dalili ya ubora wa chama chako kwa kuwa vijana wengi wa ki tanzania huvutika mikutanoni kwa mbwembwe za wanasiasa tu!!
  si mfuasi wa chama chochote kile ila nataka ufafanuzi!!
   
Loading...