Ukitaka kutawala vizuri Tanzania jenga magereza,imarisha majeshi yako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukitaka kutawala vizuri Tanzania jenga magereza,imarisha majeshi yako

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by baluhya M., Aug 30, 2012.

 1. b

  baluhya M. Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukitaka kutawala vizuri Tanzania jenga magereza,imarisha majeshi yako,hubiri jukwaani kwamba watu waheshimu utawala wa sheria,himiza hakuna mtu aliyejuu ya sheria,hakikisha unakataa katakata tuhuma zozote zinazoelekezwa kwako kwamba unaingilia mahakama hata kama wananchi kila kona ya nchi wanakwambia kwamba unaingilia mahakama,Hakikisha kuwa majaji wa mahakama zote unateua wewe,hakikikisha wakuu wa majeshi unateua wewe,hakikisha spika wa bunge unateua wewe,hakikisha mwanasheria mkuu unateua wewe,hakikisha mwendesha mashitaka unateua wewe..kifupi ukitimiza hivi vigezo vyote hapa Tanzania utatawala hadi mauti yakukute
   
 2. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Mkuu haya mambo huwa yana mwisho. siku wananchi wakichoka kuvumilia, lazima wakuchomoe madarakani. Mubarak pale Egypt na El Saleh kule Tunisia walikuwa na hisia hizo hizo wakidhani wao ndo wao mpaka kifo, ila muda ulipowadia, waliondoka tena kwa kudhalilishwa hata mwenyekiti wa kijiji ni afadhali. hata hapa Tanzania upepo uanelekea kubadilika, kamwe hatuwezi kwaacha hawa mafisadi waendelee kujineemesha kwenye migongo yetu. mi naamini ipo siku watanzania wataingia barabarani kudai haki zao wanazodhulumiwa kila kukicha.

  Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, waelimike ili waliondoe madarakani hili li serikali la ccm magamba/mafisadi/majambazi/wauaji.
   
 3. sindano butu

  sindano butu JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  aisee ukimpa kikwete USHAURI huu atakufanya kuwa OFISA WAKE WA USALAMA WA IKULU!!
   
Loading...