Mgomo mkubwa wa wasafirishaji abiria waingia siku ya tatu Bukoba Mjini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo mkubwa wa wasafirishaji abiria waingia siku ya tatu Bukoba Mjini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TONGINDI, Aug 29, 2012.

 1. T

  TONGINDI Senior Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hali si shwari katika manispaa ya Bukoba baada ya mabasi yaendayo wilaya za mkoa wa Kagera kuendelea na mgomo.
  juhudi za kujadili kero zao na mkurugenzi wa manispaa zimegonga mwamba baada ya mkurugenzi kutoa kisingizio cha
  kushughulikia sensa, utafikiri yeye ndo kamishna wa sensa kitaifa.

  baadhi ya madai yao:

  1. kulipishwa ushuru mkubwa kila uingiapo na kutoka stand ya bus
  mfano ukiwa na basi aina ya costa ni sh. elfu tano (5000) kwahiyo ukipakia abiria awamu tano kwa siku ni elfu ishirini tano.
  2. ukarabati wa stand ambayo imechoka na haina hadhi ya manispaa, wasafirishaji wanashangaa mamilioni yanayokusanywa yanakwenda wapi? kama siyo ufisadi mtupu?

  Msimamo wao;
  Mgomo utaendelea mpaka tarehe 1/9/2012 siku ambayo mkurugenzi amewaahidi kukutana nao

  Changamoto;
  katika kutunishiana misuri kati ya mkurugenzi na wasafirishaji, wanaoumia ni wananchi wasiokuwa na hatia, leo nimepita stand, ni kweupe kabisa hamna magari, wananchi ndo wapo wanabung'aaa macho infact hawajui la kufanya.

  hivi hawa viongozi wa manispaa mfano, meya, mkurugenzi, mkuu wa wilaya, sijui R.C, RAS, DAS .n.k

  huuu utitiri wa viongozi unatusaidia nini? if they cannot solve even these minor challenges?
  toa maoni yenu wana jamvi, uwanja ni wenu,
   
 2. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Sh. 5000 kwa kila trip ni nyingi: Mkurugenzi wa manispaa inabidi aueleze umma hususani wa kazi kagera hizo pesa zinaenda wapi: ni aibu Mji Bukoba kwa ujumla wake unatia aibu kwa uchakavu: stand ni ya hovyo alafu vijinyumba vya mjini bukoba vyote ni vya mwaka 1957: hakika huyu Mkurungenzi anazo hoja za kujibu-yeye kama BOSS pesa za makusanyo ya ushuru wa stand anazipeleka wapi???
   
 3. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aisee babaangu huku ndio kwakina mugambile stupid in front of my wife???
   
 4. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,362
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  imefika wakati bukoba pawekwe stand binafsi za kisasaa ili kuweka ushindani na manispaa
   
 5. f

  findu fiki JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hUKO NDIKO KWA AKINA NSOMILE
   
 6. afrique

  afrique JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 495
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  as far as hawatumii hug usafiri they just don care
   
Loading...