JHPIEGO,RLDC na OXFam ni NGOs zinatoa maslahi murwa kwa wafanyakazi kuliko NGos zingine

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,323
5,556
Nimekuw nikifuatilia Matangazo ya kazi mbalimbali kwa NGOs mbalimbali hasa kwa nafasi za kati na nimegundua NGOs kama OxFAM, RLDC na JIHPIEGO ni NGOs pekee hapa TZ zinalipa mishahara mizuri na safari za kumwaga zenye malipo mazuri hivyo kumfanya mfanyakazi kufurahia kazi yake.

Nafasi zao nyingi mtu anauhakika wa kugenerate 3million net kwa Mwezi ambacho siyo kitu rahisi kwa NGOs zingine kupata mapati kama hayo kwa nafasi za kada ya kati. Sijui kwanini NGOs zingine haziigi haya .
 
Back
Top Bottom