'Sad birthday' E. Lowassa...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

'Sad birthday' E. Lowassa...!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Crashwise, Aug 26, 2012.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Leo Lowassa anatimiza miaka 59 tangu alipozaliwa binafsi simutakii maisha marefu mpaka arudishe maisha ya watanzania walikufa kwa kukosa madwa hospitalini huku yeye akijichotea mabilioni kiujanjaujana na jamaa zake Kikwete na Rostam Aziz..Je lowasa nilini utarudisha pesa yetu na maisha ya waliotangulia mbele ya haki kwa ufisadi wako au nilini utalipa pesa zetu na faida huku ukiamua kujinyonga mwenyewe..

  sensa njema
   
 2. m

  majebere JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,521
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Huyu ndio atakuwa rais wako 2015 na ndio atawashikisha adabu nyie gwandaz. Sijui mtakimbilia wapi.
   
 3. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Namtakia maisha marefu Ed Lowasa,
  Ashuhudie M4C inavochukua nchi 2015,
  He should live long enough to be prosecuted for crimes against humanity,
  For killing and disabling millions,
  Long enough but painful life behind bars.
  Happy Birth day Lowasa.
  [​IMG]
   
 4. m

  majebere JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,521
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Kama ameiba mwambie Slaa aende mahakamani sio kuleta porojo tu humu.
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  unajua kwanini kikwete alifanikiwa kuwa raisi tena kwa zaidi ya asilimia 80? safari michezo yao tunazijua waanzishe magazeti wafungue radio station watakavyo lakini watanzania tuko macho mwambie akatize A town,shy,mwanza,mbeya..labda atakwa raisi wa wewe na mmeo..
   
 6. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Adui yako muombee maisha marefu,ili wakati unabarikiwa aweza kushuhudia!Happy Birthday E.N. Lowasa
   
 7. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Slaa ndiye mwanasheria mkuu wa serikali????? Tafakari.
   
 8. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  LOWASA ndiye rais 2015 rais kijana kabisa mwenye nguvu sio lizee lenu Slaa 2015 atakuwa na miaka 80 dhaiiifuuu
   
 9. H

  Hiraay Member

  #9
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh!!! Hii mbona kali sana mkuu!!!
   
 10. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  kamwibia Slaa?
  Mahakama ya CCM afuate nini?
  Kitu kizuri ni kuwa hatakuwa mkiwa huko jela,
  wanamtandao wenzake watampa kampani.
  Mkkwere et al Happy Deathday!
  [​IMG]
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  subiri mwaka 2015..maana wenye majukumu ya kupeleka watu mahakamani wanasimama wajukwaani wana sema lowasa safi,mramba safi,rostam safi, chenge safi huku serikali yake imewafungulia kesi za ufisadi wengine hapo tutegemee nini kutoka kwa majaji..
   
 12. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  single haiwezi ku-hit mpaka umtaje Dr wa ukweli?
   
 13. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #13
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  miaka 59 mzee acha utani!. sana sana na kwa uzee wake ule hakosi 65+.
   
 14. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #14
  Aug 26, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  hahahaaha...Lowasa kila kukicha analazwa huko ujerumani pia safari hii hamtatupumbaza na kauli mbiu ja kipumbavu kama mliyoitumia mwaka 2005 eti kikwete ni kijana mwenzetu matokeo yake kila mmoja n juta mbaya zaidi kiafya hovyo..
   
 15. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #15
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 16. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #16
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  c mulimwita gamba nyie au sio huyo?na kama ndo huyu gamba halivuliki tena-.?
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mnhhhh...
   
 18. Imany John

  Imany John Verified User

  #18
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Slaa sio serikali.
   
 19. ruhi

  ruhi JF-Expert Member

  #19
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,409
  Likes Received: 778
  Trophy Points: 280
  sa mbona ulishakimbilia kumtaja slaa,na mbona ujamwambia jk aende mahakamani? Kwani nani anayeusika na kumshitaki mtu mahakamani?
   
 20. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #20
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  subutu!..
   
Loading...