Sensa huleta maendeleo ya kweli ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sensa huleta maendeleo ya kweli ?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by A.MTALE, Aug 28, 2012.

 1. A.MTALE

  A.MTALE Member

  #1
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  hiv sensa ya mwaka 2002 imetusaidia nini kutuletea maendeleo ?, kwani hal ya maisha ya sasa ni ile kabla ya 2002 ipi ni nzuri ?
   
 2. mnoel

  mnoel Senior Member

  #2
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 170
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  hakuna maendeleo yoyote
  ila post yako ungeipeleka kwenye jujwaa la siasa wa2 ndo 2tiririke
  ila humu cyo mahala pake.
   
 3. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  na we kweli unaambiwa sensa kwa ajili ya maendeleo unakubali....hahahahaha
   
 4. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Sensa na Maendeleo vi2 tofauti lakini vikishirikiana maendeleo yanaweza kuonekana.
   
 5. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  SENSA IS DA NATION RESEARCH.., 2005 mahindi ya kikwete aliyagawa kwa kuzingatia Sensa 2002
   
 6. N

  Nguto JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,650
  Likes Received: 627
  Trophy Points: 280
  Sensa haileti maendeleo ila serikali inatakiwa itumie sensa ya watu wake katika kupanga maendeleo ya nchi? Swali ni JE WALIFANYA HIVYO?
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hapahapa tutachangia
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hapa ndipo panapowakatisha tamaa watanzania,,,,,jaman sensa na uchaguz ni mambo yaliyowakatisha tamaa watanzania
   
 9. cabhatica

  cabhatica JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 1,074
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Kwani maendeleo ni nini hasa?
   
 10. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #10
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,098
  Likes Received: 1,478
  Trophy Points: 280
  sensa ni miongoni mwa nyenzo zinazotumika kupanga mipango ya maendeleo ila hapa kwetu wamekuwa wakifanya sensa kama fashion mipango yetu ya maendeleo inaangalia kiongozi ametokea wapi na nitanufainikaje binafsi na rasilimali zetu.
  huwa inafanikiwa tu pale kwenye serikali makini
   
 11. sindano butu

  sindano butu JF-Expert Member

  #11
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 478
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  sensa ni kama darubini wanaotumia watawala kuchunguza vimilea vya pato la kodi. wanataka kujua kwanini pato lao lipo kidogo, labda kwasababu watu wachache au labda watu wengi sana.
   
Loading...