Tanesco tuwekeeni orodha ya wakala watakaotoa keygen zenu kwenye tovuti yenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanesco tuwekeeni orodha ya wakala watakaotoa keygen zenu kwenye tovuti yenu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyikanavome, Aug 30, 2012.

 1. Nyikanavome

  Nyikanavome JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Tanesco wanasema wanatoa namba mbili za kuingiza kwenye luku kuanzia tarehe moja mwezi wa tisa mwaka huu na kuwa wamebandika orodha ya wakala watakatoa namba hizo kwenye ofisi zao. Nimejaribu kuingia kwenye tovuti yao lakini sijaona orodha hiyo.

  Nawashauri watuwekee orodha hiyo kwenye tovuti yao ili tujue ni vituo gani vilivyo karibu nasi vilivyo bahatika kuruhusiwa kutoa namba hizo.

  Nawakilisha
   
Loading...