wana jf msaada wa kufika msd keko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wana jf msaada wa kufika msd keko

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by brian360, Aug 30, 2012.

 1. b

  brian360 JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Wana jamvi natumai
  ni wazima naomba msaada wa maelekezo ya
  kufika ofisi za MSD Keko
  kwa kutokea Morogoro Road
   
 2. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Kwa kutokea Morogoro road wewe nyosha mpaka Kariakoo au posta mpya then ukifika Kariakoo au posta mpa panda daladala za Temeke au Tandika mwambie konda akushushe kituo kinaitwa darajani.Upande huo huo wa kituo cha darajani bila kuvuka barabara muulizie mtu yeyote atakuelekeza na pia kama sikosei kuna bango la MSD
   
 3. b

  brian360 JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Ahsante
   
 4. mnyanyaswaji

  mnyanyaswaji JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 469
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni karibu na wizara ya Maliasili na utalii, kituo cha darajan karibu na mataa ya keko veta. Ukiona jengo la Maliasili basi hapohapo utaonyeshwa.
   
 5. b

  brian360 JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Kwa kutumia mwenge temeke haufiki darajani
   
 6. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,657
  Trophy Points: 280
  unafika...na nauli ni 400/=
   
 7. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  unafika ila kituo kipo mbali. itabidi ushuke veta halafu uchukue bodaboda but unaweza kutembea coz ni mwendo wa dakika sita kwa mguu. yaani utarudi nyuma kidogo na kufuata barabara iendao k/koo. ni karibu na jengo la wizara ya utalii ambalo ni ghorofa na linaonekana ukiwa barabarani maribu kabisa na daraja ambalo treni zinapita chini. huwezi potea. mia
   
 8. b

  brian360 JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Wapendwa siyo mbaya nikijua Kituo kabla ya kufika darajani
   
 9. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Kama unatokea K'koo, darajani ni kituo cha kwanza na kama unatokea posta kuna kituo kimoja kinaitwa Goldstar kabla ya kufika darajani. na kama unatokea Mwenge kupitia Kawawa road kama utashukia kituo cha Veta kabla ya Veta kuna kituo cha Karume na kama utaamua kushuakia kituo cha Karume kabla ya Karume kuna kituo cha Boma
   
Loading...