Nimefungiwa umeme jumapili je ni salama

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Jamani nimeunganishwa umeme jumapili ya leo je ni sawa kwa wao kufanya hivyo jumapili?
 
Haina shida hiyo mkuu chakufanya nenda kawaulize kesho ofisini kama kuna matatizo yoyote
 
Jamani nimeunganishwa umeme jumapili ya leo je ni sawa kwa wao kufanya hivyo jumapili?

Ni sawa kabisa kwasababu shirika linafanya kazi masaa 24 ndio maana magari ya emergency yanazunguka siku nzima kuondoa hatari,kurespond kwenye temporary breakdown etc

Ambacho hujafanyiwa ni kuwa created kwenye system hivyo huwezi kununua umeme wa luku hadi j3 lakini unapofungiwa unaachiwa unit za kutosha kwa angalau siku 2 wakati paperworks za kukutambua kama mteja zinaendelea.

Ukiwa na wasiwasi wowote ni PM
 
Mie hata wakija kufunga umeme saa sita usiku ni poa tu,kwani nimeshawasubiri 'mida ya kazi' mpaka nimechoka!!
Ukiwaona Tanesco,waambie wanipm!!
 
Aiseee!!! Inasikitisha sana hii nchi tunavyopelekwa! Yaani ndugu kafungiwa umeme lakini Bado haamini. Wametuathiri kisaikolojia hawa Viongozi ..duuh!!!
 
labda hataki iwe week end, brother, waambie waje wang'oe, afu warudi kufunga tena siku za kazi (juma3 - ijumaa) nadhani hapo utaridhika.
 
Wabongo kwa kulalamika!sasa hapo kinachokutia wasiwasi ni nin?
 
kama ulikwishalipa fedha na tanesco wanayo majukumu mengi kwa ajili ya wahitaji wengine wengi wamepata muda wa kukufungia umeme j`mapili nawe hupeipendi ck hiyo kwanini usiwazuie hadi j'tatu? lakini bora umpigie baduru masoud bana:A S confused:
 
kama ulikwishalipa fedha na tanesco wanayo majukumu mengi kwa ajili ya wahitaji wengine wengi wamepata muda wa kukufungia umeme j`mapili nawe hupeipendi ck hiyo kwanini usiwazuie hadi j'tatu? lakini bora umpigie baduru masoud bana:A S confused:[naomba mawasiliano yake
 
Back
Top Bottom