T xxx ccm, t xxx cdm, t xxx cuf, t xxx cck........

chitambikwa

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
3,941
900
T 000 CCM
T 000 CDM
T 000 CCK
T 000 CUF.

Mtu mmoja amekataa usajiri wa gari lake baada ya kupewa namba T xxx CCM akidai kuwa inamdhalilisha. Ameomba abadilishiwe au atasubiri mpaka hiyo CCM itakapoisha.


Nadhani vyama vya siasa vingeomba 'number' hizi ili kupunguza bugudha na mfadhaiko kwa wapenzi na wanasiasa wao.
Binafsi siwezi nami kupokea plate number ya ya chama ambacho ni hasimu wangu.
kwa kuwa ccm wamezubaa na namba T 000 ccm zikagawiwa hovyo basi vyama vingine vijaribu kuomba
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom