Noah NNE kuupaisha Mlima KILIMANJARO

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
TTB mpo wapi?
Hivi hamuwajui wabongo kwa ubahili na kupenda bure? Eti atume sms achajiwe credit yake na chaji yake ipungue?kisa! Eti anaupigia kura mlima.,atasema huo ni ulaji
CHA KUFANYA
nunueni Noah 4 wapeni Zantel,Vodacom,Airtel na tiGO watengeneze promotion ya bure flani kwa wateja wao kujinyakulia zawadi hizo za Kili Noah! kwa mwenye kutuma msg nyingi.SMS zitamiminika hadi mitandao itajam
 
lakini mimi binafsi sijaelewa hili suala linaendaje!
Kwani tunauchagua mlima Kilimanjaro kuwa sehemu ya maajabu saba ya Tanzania au ya Dunia!?
Sasa kwa kutuma hiyo SMS mbona imekaa 'kilocal' sana na nina wasiwasi kama ziko linked na hizo kura halisi.
Kwa vile Voda wana wateja 10m, Zain 7m, tigo 5m nk, endapo zitatumwa (assume) sms 5m x 350/- = 1,750,000,000/-, hii pesa itakwenda wapi? ...au atapewa mtu (mama Salma-ndiye namuona anatangaza) wa kwenda kupokea hiyo zawadi ya ushindi?
Nijuzeni jamani wana jf
 
Wizi mtupu,hii serekali ya sisiemu kilakitu ni lazima kiende kidilidili,hilo ni dili la huyo maza na wezi wenzie
 
kama huyo maza ndo mpiga debe basi tutarajie KUSHINDWA
maana hana mvuto wala ushawishi kwa jamii hata kidogo
 
sasa mimi sielewi issue ya ttb WAMA anaingiaje? Au ndo kimbelembele?
 
lakini mimi binafsi sijaelewa hili suala linaendaje!
Kwani tunauchagua mlima Kilimanjaro kuwa sehemu ya maajabu saba ya Tanzania au ya Dunia!?
Sasa kwa kutuma hiyo SMS mbona imekaa 'kilocal' sana na nina wasiwasi kama ziko linked na hizo kura halisi.
Kwa vile Voda wana wateja 10m, Zain 7m, tigo 5m nk, endapo zitatumwa (assume) sms 5m x 350/- = 1,750,000,000/-, hii pesa itakwenda wapi? ...au atapewa mtu (mama Salma-ndiye namuona anatangaza) wa kwenda kupokea hiyo zawadi ya ushindi?
Nijuzeni jamani wana jf

jamani sms ni bure
 
Ngoma imerudi tena lakini hatuoni juhudi zozote za TTB
 
nayo maajabu ya dunia yamekaa kisiasasiasa...naona kwa mbaaaaaali..#
likija kwamfano maajab ya nchi yenye viongozi na utawala waajabu,wadau mnaona ni nchi gani itashinda..hata bila changamoto za sms.
 
huwajui tanapa na mali asili na utalii wewe! yani waache kuhonga ela kwa wale wanaowasaidia kutorosha wanyama eti wakupe wewe noah! hahaha haya subiri izo noah.
 
TTB mpo wapi?
Hivi hamuwajui wabongo kwa ubahili na kupenda bure? Eti atume sms achajiwe credit yake na chaji yake ipungue?kisa! Eti anaupigia kura mlima.,atasema huo ni ulaji
CHA KUFANYA
nunueni Noah 4 wapeni Zantel,Vodacom,Airtel na tiGO watengeneze promotion ya bure flani kwa wateja wao kujinyakulia zawadi hizo za Kili Noah! kwa mwenye kutuma msg nyingi.SMS zitamiminika hadi mitandao itajam
Akili ka zako ndio zinahitajika kwa watz wa sasa
 
TTB mpo wapi?
Hivi hamuwajui wabongo kwa ubahili na kupenda bure? Eti atume sms achajiwe credit yake na chaji yake ipungue?kisa! Eti anaupigia kura mlima.,atasema huo ni ulaji
CHA KUFANYA
nunueni Noah 4 wapeni Zantel,Vodacom,Airtel na tiGO watengeneze promotion ya bure flani kwa wateja wao kujinyakulia zawadi hizo za Kili Noah! kwa mwenye kutuma msg nyingi.SMS zitamiminika hadi mitandao itajam

huu ni ujinga na ushenzi,kwan mt. kilimanjaro yenyewe haujitoshelezi kuonesha ni maajabu ya dunia mpk niupigie kura
 
Back
Top Bottom