Saidi Mwema aongoza tume ya uchunguzi wa chanzo cha kifo cha Muandishi wa chanel ten.

Hakuna cha kuchunguza hapa, mauaji haya yamesababishwa na ubishi wa CDM - full stop.
 
Polisi haiwezi kuwa mchunguzi wa suala ambalo yenyewe pia ni mshukiwa/mtuhumiwa!
 
I disagreee

Polisi wamemjeruhi Dr Ulimboka then wao wanachunguza
Polisi wameuwa muuza magazeti wao ndo wanajichunguzo
polisi ndo wamamuua Mwandishi wa Channel ten wao ndo wanachunguza

I support CCM with our goverment but this is rubbish
Polisi wanapaka matope chama chetu cha mapinduzi
 
anaongoza tume??anafikiri anaweza kubadilisha tunachofikiri,is too late
 
Hakuna cha kuchunguza hapa, mauaji haya yamesababishwa na ubishi wa CDM - full stop.

Kesi ya ngedere kula mahindi ya watu, mchunguzaji Nyani !!!

Kwenye blue,
Wewe unapingana na kamanda wako RPC wa Iringa.
Kamanda wako kasema yeye anakaribia kustaafu. hawezi kuruhusu maandamano ya Chadema kinyume na maagizo.
Hivyo hata Chadema wangekuaje, bado RPC angeendelea kutii maagizo aliyopewa.
 
I disagreee

Polisi wamemjeruhi Dr Ulimboka then wao wanachunguza
Polisi wameuwa muuza magazeti wao ndo wanajichunguzo
polisi ndo wamamuua Mwandishi wa Channel ten wao ndo wanachunguza

I support CCM with our goverment but this is rubbish
Polisi wanapaka matope chama chetu cha mapinduzi

Independent Commission is the only solution!
 
Upuuzi mtupu!.......watasema aligongwa na magari ya CHADEMA waliyopewa na CDU.

Au alikanyagwa na Tembo wa Ruaha National Park.
 
Ataongoza vip uchunguzi wakati anatakiwa kama mshukiwa wa matukio kuwajibika kwa kujiuzuru nafasiyake ya IGP kupisha uchunguzi huru.
 
I disagreee

Polisi wamemjeruhi Dr Ulimboka then wao wanachunguza
Polisi wameuwa muuza magazeti wao ndo wanajichunguzo
polisi ndo wamamuua Mwandishi wa Channel ten wao ndo wanachunguza

I support CCM with our goverment but this is rubbish
Polisi wanapaka matope chama chetu cha mapinduzi

Mwema anaongoza tume? This is a big joke! Polisi imeharibika...na hakuna tume itakayoleta mabadiliko yoyote Tanzania zaidi ya watu kula mapesa tu,.
 
Kuna haja ya kuchukuza jambo hili? wao wauwaji wao wachunguze walete report za Morogoro? Huuu Ujinga anachunguza nini badala ya kuwakamata wale wote kwenye picha na kuwafungulia mashtaka? RPC ni shahidi wa kwanza na mtuhumiwa wa kwanza kwa pamoja kwa mauaji yale ....Nini kinachunguzwa? Si wakati wa kufumbwa macho kamwe.
 
babu yangu alimkatalia baba yangu kujiunga na polisi, sababu ilikuwa kazi ya polisi ina laana! Baba akaacha kazi yake akaenda polisi kwa siri mwaka mzima hakuwasiliana na babu! Alipokuja jua ugomvi haukuwa mdogo, lkn mwisho wa kazi wa baba haukuwa mzuri! Sasa naelewa kwa nini kazi ya polisi ina laana!
 
Tutaambiwa baada ya tume kuchunguza na kutoa ripoti kwa IGP "Marehemu alipigwa na kitu kizito na sio bomu kama ilivyosambazwa kwenye vyombo vya habari!" kama yule marehemu wa Morogoro.
hii tume niisanii mtu hakuna jipya hapo!
 
Watasema hajauwawa na bunduki bali kitu chenye ncha kali kama hiki

silver-bullet.jpg
 
Back
Top Bottom