Polisi wetu wana 'LICENSE TO KILL?' Haya tena.., Jana Daudi Mwangosi,who is the next?

NusuMutu

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
421
87
Heshima naitanguliza mbele wakuu. Kwa masikitiko na huzuni kubwa kufuatia matukio ya mauaji yaliyofuatana na yaliyofanywa na jeshi linalio jinadi kuwa ni la 'usalama wa raia' najiuliza hivi hawa polisi wana leseni ya kuua aka License to kill (LTK)? Binafsi sijapata sikia hawa jamaa wakifikishwa mbele ya sheria. matukio ya mauwaji ya raia sasa yanakuwa kawaida na ninashindwa kujua hivi kweli Intelijensia ya polis wetu inaishi kwenye kubonyeza triga za bunduki zao tu?
Juzi Morogoro, jana Iringa na kesho hapo kwako. Inaonekana hawa polisi wetu wana License to kill na list ya most 'feared' people .Who will be the next?
Kwa huzuni nawsilisha:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom