Je kwa kutumia facebook hivi ukimwi si utawamaliza wanafunzi wa vyuo vikuu?

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
6,376
6,708
[video]http://www.standardmedia.co.ke/?videoID=2000059999&video_titl e=Facebook-:-A-prostitution-ring?[/video]
 
duh. Acheni akili fupi

asante Saint kwa kuwakumbusha hawa wenye chicken vission; kama "mashigulu mageni" ni tatizo wanafikiri ni tatizo kwa wanafunzi wa vyuo tu!, wana-exclude binti zao, wanao, wake zao, waume zao, wazazi wao na kamaa zao?!, wanadhani kuwa wanavyuo nivipofu na mbumbumbu na hawana maamuzi dhidi ya technology?!.
 
Natabiri watu wengi watakao changia na amabo wame-changia hii bandiko hawata/ja angalia hii video mwanzo hadi mwisho.
Tatizo la sisi wabongo, No blame.
 
Creative minds, hakuna ubaya kwenda na technolojia. Sorry kwa kiswahili ndefu ka barabara!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom