Mission and vision za Polisi Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mission and vision za Polisi Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Aqua, Sep 3, 2012.

 1. Aqua

  Aqua JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 1,299
  Likes Received: 418
  Trophy Points: 180
  Baada ya kuona polisi wamekuwa wakiua raia unnecessary,nikawa nimeshindwa kuwaelewa.Ikabidi niende kwenye web site yao kutafuta information labda naweza elewa kwanini wanaua raia.Lakini sijaona kipengele kinacho waruhusu kufanya hiyo

  From their website

  Mission and Vision

  [TABLE="class: blog"]
  [TR]
  [TD] [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: buttonheading, align: right"] [​IMG] [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="colspan: 2"] Mission Statement The mission of the Tanzania Police Force is to ensure the public security, safety and protection of both life and property of all inhabitants of our community; to regulate and control the flow of traffic in order to facilitate the movement of persons and goods within our towns and to reduce the impact of crime on the inhabitants of community through investigation, apprehension, and adjudication of persons involved in criminal offences.
  Vision Statement To have professional, modernisation and community policing that support maintenance of peace and tranquility by reducing incidences of crime and fear of crime; justice administration, rule of law and good governance and public safety in the country. The reformed Police Force must earn community confidence and trust, recognition and acceptance by its professional response to crimes and incidents in application of modern talents, technology and equipment.
  Core Values

  • Professionalism.
  • Ethics adhered.
  • Customer focus.
  • Accountability and responsibility.
  • Teamwork.
  • Impartiality.
  • Community responsibility.
  • Honesty.
  • Integrity.
  • Loyalty.
  • Adherence to laws and regulations.
  • Proactiveness.
  • Confidentiality
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  Values ni nini?
  values - beliefs of a person or social group in which they have an emotional investment.
  Ni vitu ambavyo mtu anaamini ,na anaishi kwa kuvifuata na hayuko tayari kwenda kinyume navyo.
  Sina uhakika kama polisi wanazielewa na kuzifuata hizo mission na vision zao.


  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="align: center"]

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  Ukisoma hizo vision and mission utaamua mwenyewe kama polisi wanafuata hizo mission na vision zao?Polisi wamekuwa wakweli?
  Raia kibao wameuawa nani amekuwa held accountable?Na ni responsibility ya nani kufanya hivyo?

  Ukitaka kujua inauma mtu kuuliwa pasi sababu za msingi fikilia angekuwa ni ndugu yako,au unamtegemea kimaisha.Ila hao walio uawa na askari wengekuwa ni ndugu wa vigogo au wajeda story ingekuwa tofauti.Mi nafahamu kuna wananchi wengi sana ndugu zao au jirani zao kwa njia moja au nyingine waluliwa au wamefungwa kwa makosa yasiyo kweli. Kwenu askali mutaweza kweli kupata the so called "community confidence and trust"? Maisha ya mtanzania hayana thamani,nani atatulinda?

  Nchi nyingine askari hawapewi silaha ovyo hii ni kuepuka mambo kama haya.Sometimes nakuwa nafikilia hawa askari walioua wakichunguzwa vizuri unaweza kuta wanamatatizo aidha ya kifamilia,maisha, ndoa au tatizo lolote.Kwani kuamua kutoa uhai wa mtu si maamzi madogo.
  Mimi ka raia nafanya kazi au biashara ,nalipa kodi kwa serikali yangu,hiyo hiyo kodi yangu inatumika kulipa mishahara ya watu ambao wanatakiwa kunilinda unfortunately wananiua mimi raia.

  Kila lenye mwanzo lina mwisho,nchi hii haithamini uhai wa raia wake.A day will come when...
  Only sometimes we have to thank God for being poor and not able to possess...


   
 2. d

  dotto JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  wanatumiwa kulinda madaraka ya wakubwa. HAina tofauti na enzi za ukoloni. But Where is ZZK now??
   
 3. mangikule

  mangikule JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 3,177
  Likes Received: 1,259
  Trophy Points: 280
  Nina hakika asilimia 80 ya polisi hawaijui vision na mission yao. Asilimia 99.99 hawaifuati! Hebu tujikumbushe mijitu kama Omari Mahita ilikamata ofisi ya juu kabisa. Bila kujali kujihusisha na mitandao ya majambazi wa magari, na hili lilijulikana wazi!! Je TISS wapo? Mission na vision ya polisi na TISS kulinda mafisadi na kupeleleka MABWEPANDE wote wanaotishia CC MABWEPANDE!! Miye hili jina Kamuhanda limeungana na jingine kichwani mwangu IGHONDU!! wa TISS.
   
 4. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Form 4 failire aka iron boys hawafundishiki kabisa hawajui lolote kuhusu vision na mision yao........changanya na njaa=janga kubwa.
   
 5. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,848
  Likes Received: 465
  Trophy Points: 180
  Wewe ulipoambiwa wengi wamenunua Vyeti Hukujua Hila ni Tatizo Kubwa? at last Litakuwa Janga!! Janga lenyewe ndio Hilo!!
   
Loading...