Asubuhi ktk kipindi cha patapata nilimsikia kamanda wa police Iringa........Kamihanda akilisafisha jeshi la police kuwa halihusiki na tukio la kifo cha mwandishi wa habari Daudi Mwangosi aliyeuawa kwa kitu kinachosadikika kuwa ni bomu ktk kijiji cha Nyororo-Mufindi.
Ktk utetezi wake,RPC alisema police walikuwa na. mabomu ya machozi,maji ya kuwasha na risasi tu...hawakuwa na bomu linalosadikika kumwua mwandishi huyu.
Angalizo:Uchunguzi wowote utakaofanyika kuhusiana na nini chanzo cha kifo cha mpendwa wetu Mwangosi hautakuwa na ukweli endapo Polisi itakuwa ndani ya jopo/tume hiyo.
Police wakumbuke kuwa vyama vya siasa na wanasiasa watapita lkn wao watabaki kuwa watumishi wa umma.
Jinai wanaxozitenda sasa ziendane na sala nzito ili serikali ya chama wabachokilinda idumu milele...la ikitokea serikali ya chama kingine ijaingia madarakani,Kamihanda na wenzake wote wanaofanya jinai za kumwaga damu zisizo na hatia huku uovu wao ukifunikwa kwa chunguzi za tume feki wajiandae kupanda kizimvani...there is no mercy on this.