AMEND
Member
- Aug 6, 2012
- 9
- 0
Mwaka 2008 asilimia 75 ya ajali za barabarani zilisababishwa na sababu za kibinadamu kama mwendo kasi, uzembe wa madereva, kuendesha ukiwa umelewa n.k , wakati hali ya barabara na ubovu wa magari ulichangia asilia 25 (Chanzo: Ripoti ya Mwaka ya Trafiki Tanzania, 2012) . Sasa tujiulize, tutaendelea kunyosheana vidole hadi lini wakati sehemu kubwa ya ajali hizi chanzo na wahanga ni sisi wenyewe? Dhamini maisha yako na ya wengine, chukua tahadhari uwapo barabarani.