Hatimaye CHADEMA wakubali kusitisha mikutano yao mkoani Iringa hadi kukamilika kwa zoez la sensa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye CHADEMA wakubali kusitisha mikutano yao mkoani Iringa hadi kukamilika kwa zoez la sensa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by said kikaa, Sep 3, 2012.

 1. s

  said kikaa Senior Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Akizungumza na radio one mara baada ya kikao kilichoshirikisha pande mbili, CHADEMA na jeshi la polisi na kuudhuriwa na IGP Said Mwema, kamanda wa polisi mkoan Iringa Michael Kamuhanda , DK.SLAA na viongoz wenzake.

  DK. SLAA amesema wamekubaliana kusitisha mikutano yao pamoja na kumalizika zoezi la sensa ili waeze kushiriki katika msiba wa mwandishi wa habari wa Chanel Ten.

  Dk. Slaa amesema wamekubaliana kimaandishi kuepuka kigeugeu cha jeshi hilo la polisi.
   
Loading...