Happy Birthday Joseph Sinde Warioba kutimiza miaka 72 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Happy Birthday Joseph Sinde Warioba kutimiza miaka 72

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nikupateje, Sep 3, 2012.

 1. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ni Waziri Mkuu mstaafu. One of the best Prime Ministers Tanzania has ever had. Hongera Joseph Sinde Warioba kutimiza miaka 72 leo. Jamii Forum ni mahala pia pa kutakiana heri na si kama baadhi wanavyopa-depict.
   
 2. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hongera zake 72 si haba, hongera sana.
  but tunahitaji katiba mpya isiyoegemea upande wowote!
   
 3. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Happy birthdate Jose!
   
 4. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 5. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  hongera sana mzee!

  Huyu ndugu yetu amefanya kazi nzuri kwa miaka hiyo yote lakini huu mtihani wa KATIBA unaweza ukazidisha hayo yote mara mia au ukaifuta hiyo historia. Tafadhali mzee, angalia Tanzania inahitaji nini na sio waliokuteua kusimamia hiyo kazi wanataka nini
   
Loading...